Wameamua kurudia mavazi yao ya asili sio haya mambo ya kufanya wanawake wanatembea mjini kama mazombi au mizimwi wameghubika madude meusi kote......
Dunia inaendelea kupata elimu.
======================
Tajikistan, a 96% Muslim country, BANS women from wearing the Hijab. Children will also be...
New Delhi [India], Juni 2024
Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo.
Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
Habari wadau.
Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili.
Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini
Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena.
Mashoga wa Ukraine wapanga kufanya gwaride mwezi juni 2024 .
Serikali ya kiev yabariki Tena jambo hilo kama ilivyobariki miaka ya nyuma.
Amini usiamnini huenda kinachowapata Ukraine Sasa hivi ni adhabu toka kwa Mungu,si bure.
Gwaride ni sawa na...
Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana.
Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi.
Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe.
Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo;
Tshs. 60,000.00, Kibali...
Sijui ni Watanzania wangapi wangeweza kufanya hivyo!
Ivana Trump ndiye aliyekuwa mke wa kwanza wa Donald Trump. Alikuwa wa kwanza kwa Trump, lakini Trump hakuwa mumewe wa wa kwanza wala wa mwisho.
Mume wake wa kwanza alikuwa ni Alfred Winklmayr. Alikubali kuolewa na huyo mwanaume ili aupate...
Habari ya kazi wakuu!!
Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja.
Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili.
Nimetonywa hapa kuwa katiba...
Wanakumbi.
MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU
Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu.
Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa kanisa hilo wakati wa Jumapili ya Pasaka kwa Wakristo wa Orthodox...
Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma.
Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu?
===
Pia soma:
Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
Sham El-Nessim, sherehe ambayo hufanyika kwa uzito sawa na Pasaka, inayoangukia siku baada ya Jumapili ya Pasaka kila mwaka.
Taratibu na imani zinazohusiana na sherehe za leo za Sham El-Nessim zinaunganisha moja kwa moja na sikukuu za Misri ya Kale. Sawa na Pasaka, tamasha linahusu dhana za...
Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao?
Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere.
Pengine labda nimesahau. Kama ni...
Ninaandika haya sio kwa kuponda stlye zetu za kila mwaka za watu kujipanga na likatokea neno labda miaka 60 ya uhuru nadhani vitu hivyo zama hizi za tekenolojia tungeviweka pembeni na tutoe nafasi kwa watanzania wavumbuzi kwenye sherehe hizi kwani itatusaidia kuchochea ukuaji wa tekenojia hapa...
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024.
Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe...
Anonymous
Thread
gharama
halmashauri
kuhudhuria
momba
muungano
sherehe
watumishi
zao
SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe.
Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
Serikali ina bajeti iloyotengwa ya kufanya sherehe za kumbukumbu za vifo kwa viongozi wa taifa waliofariki ?
Ni viongozi gani waliofariki ambao wanakidhi vigezo vya kufanyiwa kumbukumbu za kiserikali kwa bajeti ya serikali?
Wizara gani inasimamia ufanyikaji wa hizo kumbukumbu?
Waislamu wanatumia muda wa mwenzi mzima kwa ibada nzito ya kufunga na pia wanatumia gharama nyingi kwa maandalizi ya sikukuu ya idi ambayo nayo kusherehekea kwake kuna maelekezo ya kiibada.
Kuna mafisadi walafi na makafiri huwa wanawaangalia tu waislamu ili ifikapo siku ya idi wawaharibie kila...
Fuatilia kinachojiri kwenye Sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, leo Aprili 2, 2024 ambapo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ni Mgeni rasmi.
https://www.youtube.com/live/Tn-4Dnih7Ns?si=AnmsV1cFL-h2A6ze
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.