Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
Yaani mkiifanya halafu GENTAMYCINE sipo au sijaalikwa itakuwa ni sawa na Timu ya Taifa ya Argentina kupangwa bila Lionel Messi au Yanga SC kupanga Kikosi chake bila ya Pacome Zouzou au Simba SC kupangwa bila ya Clatous Chama kitu ambacho hakiwezekani na kitawashangaza wengi.
ANGALIZO
Kabla...
SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM NA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI
Sherehe za Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi zinaendelea kufana Musoma Vijijini.
Leo, sherehe hizo zimefanyika Kijijini Bwai Kumsoma, Kata ya Kiriba. Washiriki wa sherehe hizi...
MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA
Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini.
Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata.
Mbunge wa Jimbo, Prof...
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Mapinduzi hayo yalikuwa na muktadha wa kisiasa na kijamii ambapo kulikuwa na mivutano kati ya Waarabu na...
Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema,
"Naulizwa sana kuhusu sherehe ya Harusi, itafanyika au itakuwaje ? Je mtaifanya kwa ukubwa gani kama Engagement Party...
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ametangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya msimu huu kwa kile alichosema kwamba ‘amechoka’.
Klopp alijiunga na Liverpool Oktoba akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani na mkataba wake wa sasa na timu hiyo unafikia mwisho mwaka 2026 lakini ameamua kuachana na...
Habari wanajamii,
Mimi ni software developer, nilikuwa nina idea ya kutengeneza app/tool ya kusaidia kufuatilia na kukumbusha watu ahadi za michango kwa ajili ya harusi na sendoff.
App ina lengo la kutatua kero zifuatazo kwa mtu anayefuatilia, kukusanya na kutoa taarifa za makusanyo ya...
Mama anawapenda sana waarabu,je anafurahia sherehe za Mapinduzi ambazo ziliua waarab na kuwafukuza nchini Zanzibar!?
Wakati Waarabu wa Omani walipokiteka kisiwa cha Mombasa kutoka kwa Wareno 1698, Zanzibar na Pemba zilikua chini ya watawala wa Kiarabu kutoka Omani, na baada ya zaidi ya karne...
.
Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zingali zikiendelea huko visiwani , ambapo sherehe hizo kabambe zimefanyika kwenye Uwanja wa Aman, Gwaride Maalum na Hotoba za viongozi zimesikika .
Jambo kubwa la kufurahisha ni uwepo wa Watanganyika wengi kuliko wakati wowote tangu sherehe hizo...
Nchi mbalimbali duniani huona fahari sana kukumbuka siku za kuzaliwa mataifa yao. Neno kuzaliwa nimemaanisha siku ya kupata uhuru.
Nimeangalia majuzi hapa kwa jirani zetu Kenya, walisherehekea siku yao ya Uhuru kwa kishindo wakiwa pamoja na Rais wao Dr. Ruto. Nchi nyingi hasa zilizojikomboa...
Qingming Festival hii ni sherehe maalumu inayo adhimishwa na jamii ya kichina ulimwenguni kote hasa katika maeneo/nchi zenye jamii kubwa ya kichina mfano China, Indonesia, Thailand, Singapore, Malaysia, Vietnam n.k
Kwa lugha ya kiswahili sherehe hii unaweza kuitambua kama sherehe maalumu ya...
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na...
Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja.
Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
Sasa Wewe Gambeka ( Lewa ) sana tarehe 1 Januari, 2024 ukidhani Sherehe ipo hadi tarehe 2 Januari, 2024 kisha tarehe 3 ukienda Kazini ukute tayari Nafasi yako imeshazibwa na Mfanyakazi mpya uanze Kulia na kuanza Kuhangaikia kutafuta Wahubiri mbalimbali Wakuombee ili urejee Kazini au uanze kukita...
Baada ya kufanya Tathmini kabambe huku D'Salaam na Mkoani Mbeya , kwa kweli tumegundua kwamba Sherehe za Christmas ni kama hazipo kabisa kutokana na dhiki kuu iliyosababisha Ugumu mkubwa wa Maisha ambao Wazee wengi wanadai haujawahi kuwepo kwenye nchi tangu wapate akili.
Mishahara duni ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Kuacha kufanyika...
Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ?
Haiwezekani tunambiwa Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania bara huu ni upumbavu, Tanzania bara ni uchafu gani huu ?
Hili neno takataka linaloitwa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.