Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za gwaride na badala ameelekeza kufanyika kwa shughuli za maendeleo katika ngazi za mikoa.
Hii ni...
‘Hivi ni vijimambo’ unaweza ukaita hivyo, baada ya sintofahamu kutanda katikati ya sherehe ya harusi kutokana na vurugu iliyosababishwa na taarifa iliyomfikia bi harusi kuwa anayefunga nae ndoa ana familia yenye watoto saba.
Sherehe hiyo iliyokuwa ikifanyika siku ya Jumapili katika jimbo la Edo...
Katika jamii mbalimbali za Africa na hata kwenye biblia ilikuwa ni sehemu ya tamaduni kwa mdogo mtu kurithi mke wa kaka yake pindi kaka yake anapotokea kufariki dunia.
Lakini katika kutimiza mila hizo hakukuwa na harusi, sherehe, shamrashamra, kukusanya watu, kuvipa vyombo vya habari pesa ili...
Kwenye maeneo yote yenye maendeleo aidha kwenye familia au jamii au walipokaa watu kwenye tafrija tunakutana na vyakula vifuatavyo;
1. Wali
2. Pilau
3. Viazi (chips)
4. Nyama
5. Ndizi nk
Ugali umetengwa nakufanywa siyo chakula chakuliwa na watu maalumu. Sijajua tatizo ni chakula cha masikini au...
Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana.
Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja.
Kuna...
Wasalaam JF
Tangu mwezi huu wa pili uanze nafsi yangu inaamini Mwigulu Madelu Mburundi Nchemba atatumbuliwa na tayari nimejipanga kukesha kwa bajeti ya laki6 na siku hio ntapiga threesome matata sana na bia kama zote, ajipange sana huyo Mburundi wa hiari.
Mwigulu out out
In shaa Allah hio...
Ni tukio la kwanza kabisa katika ardhi hiyo ambayo kila mtu ni mwanasheria kwa mjibu wa Rc Chalamila kuweza kutambua mchango wa kiongozi mteule wa Rais kwa kipindi alichowatumikia.
DC Machali ni Miongoni mwa ma DC wachache waliotumikia Wilaya hiyo bila kuyumbishwa na kundi lolote eidha...
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua.
Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.? Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa.
Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo.
Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake.
Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka...
Ninachukizwa na nawachukia watu wote wanaotumia tecno,infinix na itel yaani kwangu mie nawaona ni wahujumu uchumi wa nchi yetu yaani inakuaje mtu anatumia au watu wanatumia tecno,infinix au infinix huo si umama?
Yaani kiukweli watu au watu wanaotumia hizo kiukweli serikali inapaswa kuwafungulia...
Sherehe za Uhuru na Sasa mapinduzi, zinaadhimishwa kwa kupanda miti/kufanya usafi. Nadhani uadhimishaji wa sherehe hizi uwe na mlengo wa kiuchumi. Yawepo mawasilisho ya kiuchumi kwa lengo la kusogeza nchi mbele. Maazimisho ya magwaride yanaweza kuwepo, lakini test ya kiuchumi ni muhimu...
Rais #VladmirPutin amechukua uamuzi huo baada ya Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi, #PatriakiKirill, kupendekeza kusitishwa kwa #RussiaUkraineWar kuanzia adhuhuri ya Ijumaa Januari 7 hadi saa 2 asubuhi Jumapili Januari 8, 2023.
Kanisa la #Kiorthodoksi, ambalo hutumia Kalenda ya zamani ya...
Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita 2,400.
Shughuli hiyo imeonesha utamaduni wa jadi wa uvuvi wa samaki wa kabila la Wahezhe.
Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza.
Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
Abuja, Nigeria - Adeola Ehi alikuwa anatazamia kumpeleka bintiye mwenye umri wa miaka miwili nyumbani kukutana na babu yake kwa mara ya kwanza Krismasi hii. Lakini maombi kwa matumizi ya kaya ambayo yalijumuisha kodi isiyotarajiwa kulifanya mshauri wa mawasiliano mwenye umri wa miaka 43...
Huku taifa la Kenya likisherehekea miaka 59 ya uhuru, hotuba ya Rais mpya wa awamu ya tano Dkt. William Ruto ilikuwa ya muhimu sana na kati ya mambo mengi aliyoyasema ni ahadi 10 muhimu; lakini swali la msingi lililobakia kwenye vichwa vya raia wengi ni Je atatimiza ?
Hizi hapa ahadi 10 za...
Tanganyika ipo wapi?
Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia?
Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU?
Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO?
Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.