sherehe

  1. C

    Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  2. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    CCM wanaleta siasa za kijima. Wanapanga wenyewe sherehe baadaye anatokea kiongozi wao anaghairisha ili wapate sifa

    Huu mchezo nilikuwa naukemea tangu enzi za Magufuli. Hii leo ni zaidi ya mara 4 sherehe za kitaifa kughairishwa na viongozi kisha fedha kuamuru zipelekwe kwingineko. Rais hupatiwa kitabu chote cha bajeti kabla haijasomwa naye hutoa mapendekezo au amri zake. Kisha hurudi kwa wahusika. Sasa huu...
  4. Suzy Elias

    Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Serikali iendelee na sherehe za kumpongeza Majaliwa

    Serikali naipongeza kwa hili, aendelee kuitwa na kupongezwa kila kona. Arudi tena bungeni kupongezwa. Afanyiwe HBD. Huu ni muda wa kupongeza sio muda wa kuchukua hatua za kudhibiti majanga. Kwanza haiko kwenye ilani ya chama. Pili serikali haijaleta haya majanga. Hata mwezi haijapita dege...
  6. sanalii

    Sherehe za Uhuru zisifanyike au kusiwe na vikosi vinapita pita

    Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
  7. The Sunk Cost Fallacy

    Hivi suala la kugawa vishkwambi linahitaji sherehe kweli?

    Moja kwa Moja kwenye mada. Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu. Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo? Kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa ugawaji...
  8. J

    Hata 1980s tulipomaliza mradi fulani Chenji iliyobaki tulitumia kujipongeza kwa sherehe!

    Binafsi sijashangaa kabisa tukio la kuutangazia Umma matokeo ya Sensa kupitia mkutano wa hadhara Mazoezi ya Sensa hugharamiwa na UN so kama Chenji imebaki na ikaingizwa kwenye Mzunguko wa Fedha kwa njia ya Sherehe kuna ubaya gani? Ni kawaida sana J4 Ubarikiwe sana!
  9. NetMaster

    Ni sawa kupostiwa na MC bila ridhaa yako ukiwa unaburudika kwenye sherehe?

    Nilienda kwenye mualiko wa sherehe ya rafiki yangu kuna dada yake alikuwa anaolewa, nikiwa najimwagia moyo na bia kadhaa ukafika muda wa kwenda kusakata rumba, mzuka niliokuwa nao ulikuwa fire 🔥💥 bum shakarakah! 💥🔥Nikajivuta hadi sehemu ya tukio na nikaanza manjonjo yangu kujiachia kwa...
  10. BARD AI

    Korea Kusini: Watu 151 wafariki kwenye sherehe za Halloween

    Shirika la Zimamoto jijini Seoul limesema idadi kubwa ya waliopoteza ni vijana waliokuwa wakigombea njia kwenye uchochoro mdogo na kusababisha kundi kubwa la watu kuwakanyaga Zaidi ya watu 100 pia wanaripotiwa kujeruhiwa kwenye tukio hilo lililowakutanisha watu takriban 100,000 ikiwa ni...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo

    Hi gentlemen! Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off? Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani. Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu. Tusaidiane kwenye...
  12. J

    Rais wa Uganda ahudhuria sherehe za Ruto na mobile toilet

    Kenya. Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni amehudhuria sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Kenya kwa kusafiri na ndege maalumu ya Rais huku akiambatana na washauri wake wa karibu. Katika hali ya kushangaza, Rais huyo wa Uganda ameambatana na mobile toilet katika msafara wake, mobile toilet...
  13. Balqior

    Inakuwaje binti unataka kumuoa, anakubali ila anakuwekea ulazima wa kufanya sherehe ya harusi?

    Hii imetokea kwa wanaume wawili ninaowafahamu wako in their late 20's wana wachumba zao washatambulishana hadi kwa wazazi. Katika story za hapa na pale hao wakaka wanalalamika kuwa wanawapenda wachumba zao na wanataka kuwaoa, shida hao wadada wanasema wanataka sherehe ya harusi wakati vipato...
  14. BARD AI

    Askari wanne washtakiwa kwa kumkamata Bi Harusi kwenye sherehe

    Polisi nchini Uganda imewafungulia mashtaka maafisa wake wanne waliovamia sherehe ya harusi wiki iliyopita na kumkamata bibi harusi wakimtuhumu kwa wizi. Kwa mujibu wa Msemaji wa Polisi, Fred Enanga, Askari hao hao wamefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu, na endapo watakutwa na hatia jeshi...
  15. politicians

    Je, una sherehe hivi karibuni? Harusi, send off, happy birthday n.k? Pitia huu uzi

    Habari wakuu!, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu,je una sherehe hivi karibuni kama harusi,send off,happy birthday n.k, kama jibu ni ndio basi hii taarifa ni nzuri na muhimu sana kwako, tunafahamu kuwa linapofika swala la sherehe yoyote watu hupanga mahitaji muhimu kwa ajili ya...
  16. Mganguzi

    Manara amefungiwa kujihusisha na soka ,mechi ya Leo sio ya mashindano ya tff,ni sherehe ya yanga ,manara kaja kama mc

    Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Leo Taikon yupo kwenye sherehe za makambi, Mtaa wa Manzese, Karibuni.

    Sabato Njema! Leo ninayofuraha kubwa kusherehekea Sikukuu za Makambi Kwa mwaka huu 2022 katika mtaa wa Manzese. Maandalizi yaliyofanyika ni makubwa Mno. Mwitikio wa watu hi mkubwa Sana, Nina wasiwasi eneo linaweza kuwa dogo Kama ongezeko la watu litaendelea hivi! Kwaya kubwa zinazoimba vizuri...
  18. L

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing, mkoani Xinjiang, China wafanya sherehe ya Nadam

    Wanakijiji wa wilaya ya Hejing mkoani Xinjiang, China walifanya sherehe ya Nadam kwa kusherehekea ufugaji bora ya mwaka huu. “Nadam” ni sikukuu ya kijadi ya kabila ya Wamongolia, maana yake kwa Kimongolia ni burudani au michezo.
  19. sky soldier

    Fataki zisizo na idadi zapigwa kwenye sherehe za ubingwa huku Simba wakinywea baada ya kula kipondo Mbeya

    Wakati sherehe zikiendelea, fataki zisizo na idadi mithiri ya machine gun zimerushwa juu ya jengo la GSM
  20. LIKUD

    Harmonize kafunika sherehe ya Yanga leo

    Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana. Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga. Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize. Hongera sana...
Back
Top Bottom