Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana.
Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi...
Watalamu tunaomba msaada wa hili Jambo una mashamba yako ambayo ulinumua kwa hati ya manunuzi ikiwa na jina lako familia inajua mkeo au mumeo anajua tuna mashamba uko Morogoro.
Kutokana na changamoto za hapa na pale unaenda chukua hati unauza lile shamba bila mshirikisha mumeo au mkeo baada ya...
Habari wana JF,
Nahitaji kujua kama kuna mtu ana kiwanja anataka kuniuzia natakiwa nifuate taratibu gani kisheria ili nisije kugubudhiwa baadae, kwa vijijini taratibu zikoje na kwa mijin taratibu zikoje pia nikitaka kununua shamba nifuate taratibu zipi ili hilo shamba liwe mali yangu halali...
Mtu amekamatwa akiuza nyama ya mbwa (wamemchinja mbwa wakaandaa mishikaki wakawa wanauza, na nyingine wakauza kwenye supu). Watu hawa watashitakiwa kwa kosa gani? na ni sheria gani chini ya kifungu gani.
Msaada please!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.