Habari wana JF,
Nahitaji kujua kama kuna mtu ana kiwanja anataka kuniuzia natakiwa nifuate taratibu gani kisheria ili nisije kugubudhiwa baadae, kwa vijijini taratibu zikoje na kwa mijin taratibu zikoje pia nikitaka kununua shamba nifuate taratibu zipi ili hilo shamba liwe mali yangu halali...