sheria ya fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutoka Symbion hadi Sheria ya Fedha 2026 na Ufisadi katika Uagizaji Mafuta. je, Luhaga Mpina amebadili msimamo?

    Dar es Salaam. Taarifa waqliyoitoa Chama cha ACT-Wazalendo walipokuwa wanaongea na Waandishi wa habari. kuwa litafungua mashauri mahakamani kupinga baadhi ya vifungu vya Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 limefungua mjadala mpya kuhusu nafasi ya siasa za upinzani katika usimamizi wa fedha za Umma...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Hoja ya Festo Sanga 'kutungwa kwa Sheria ya Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, hatua zimeanza kuchukuliwa

    Kufuatia pendekezo Mahsusi lililotolewa na Mbunge wa Makete, Festo Sanga kuomba kutungwa kwa sheria ya kufuatilia na kusimamia Fedha au mali ambazo hazikudaiwa, zimetelekezwa au zimesahaulika na Wamiliki wake kwenye Makampuni au Taasisi mbalimbali kama Bank, Mitandao ya Simu, Mifuko ya Hifadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya msingi ya Sheria ya Madini; Kodi ya kukabiliana na VVU yaanzishwa kwenye madini

    Mnamo 30 Juni 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilipitisha Sheria ya Fedha Na. 11 ya 2025 (Sheria ya Fedha), ikileta mabadiliko muhimu katika sheria kadhaa, ikiwemo Sheria ya Madini, Cap. 123 R.E. 2023 (Sheria ya Madini). Mabadiliko haya ni sehemu ya mageuzi ya kifedha na ya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa ushuru wa Tsh. 382 kwenye gesi asilia ya magari

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza amesema Serikali imekubali mapendekezo ya wabunge ya kuondoa ushuru ya Sh382 kwenye gesi inayotumika katika magari. Amesema hayo leo Juni 27,2024 wakati akiwasilisha maoni ya kamati yake kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha ya Mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…