Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya zinazopiga marufuku ufungaji na matumizi ya ving’ora na taa za ishara (beacon lights) kwenye magari binafsi bila kibali maalum, kufuatia kuongezeka kwa kero na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara nchini kote.
Kanuni hizo, zinazojulikana kama...