Taarifa zilizozagaa kila mahali zinadokeza kwamba , mchango wa maoni ya Sheikh Amiri Musa Kundecha aliyoyatoa kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba , kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi umedhibitiwa na kufichwa.
Taarifa zingine zikidokeza kwamba Waandishi wa Habari wameonywa wasiusambaze...
Mapendekezo ya jumla na msimamo wa CHADEMA juu ya miswada ya sheria iliyowasilishwa bungeni 10, Novemba 2023 inayohusu masuala ya uchaguzi na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa
NB; maoni haya ndiyo ambayo kamati ya kudumu ya bunge ya utawala, katiba na sheria inazuia yasisomwe
=====...
Taarifa ikufikie popote Ulipo duniani , Kwamba miongoni mwa mambo Makubwa yatakayotokea leo Duniani ni Pamoja na Chama kinachoungwa mkono na Watanzania wengi kuliko Chama chochote cha kisiasa , CHADEMA leo 10/01/2024 kinatoa maoni yake kwenye Kamati maalum ya Bunge kwa ajili ya Marekebisho ya...
Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi .
Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
JamiiForums, Jukwaa la Katiba (JUKATA), Tanganyika Law Society (TLS), Twaweza East Africa, Centre for Strategic Litigation (CSL) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kwa pamoja tunawasilisha maoni kwenye miswada minne: Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani; Muswada...
Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja na viongozi wenzetu kutoka Baraza la vijana Chadema (BAVICHA) kuanzia hatua ya vikao hadi hatua ya...
Kamati za Kudumu za Bunge zimeitisha maoni ya wadau kuhusu miswada mitano iliyosomwa kwa mara katika mkutano wa 13 ukiwemo Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023.
Maoni hayo ya miswada hiyo iliyowasilishwa kwa mara ya kwanza Novemba 10 mwaka huu itawasilishwa...
Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
Muswada wa Sheria ya...
HATUWEZI KWENDA UCHAGUZI WA 2024 NA 2025 BILA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI
Watawala wamekuja na mbinu ya medani wengi hawaijui katiba iliyopo, vyama vya siasa siyo wamiliki wa Katiba na ubora wa katiba siyo lazima haki ikatendeka.
Hivi ni visingizio vya kukwepa kurekebisha mfumo wa...
Wanabodi habari za siku
Nimekaa nikaangalia namna nchi yetu tunavyoendesha Chaguzi zetu hasa huu Uchaguzi mkuu, na zaidi hapo kwenye Urais.
Urais ni level kubwa sana ya Kiutawala na Uongozi nchi hii na karibu nchi zote Duniani. Rais hatakiwi kupatikana kirahisi rahisi tu.
Mchakato wa kumpata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.