Hawa Askari wetu wanafanya kazi kubwa na Ngumu mnoo, Mvua yao, Jua lao .
Watanzania wachache Kwa upuuzi na makusudi yao, huamua kwenda Kumpa Hela Askari , wakati fulan Askari anaipokea akijua ni "Pole ya juani" kama ilivyo kawaida katika kada mbalimbali .
Ajabu unakuta Mtanzania huyo alotoka...
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
ccm
katika
kugombea
kugombea urais
kugombea urais 2025
kumteua
meneja
rais
rais samia
samia
samia kugombea urais 2025
sheria
tanga
tra
umma
urais
urais 2025
utumishi
utumishi wa umma
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
NASISITIZA, ITUNGWE SHERIA KUBEBA MIMBA BILA RIDHAA YA MWANAUME LIWE KOSA LA JINAI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwanasheria wa Tibeli.
Andiko hili liwafae wale wapendao HAKI. Andiko hili lipitiwe na kujadiliwa na wale Wanasheria wa kusomea na wale Wanasheria wa kuzaliwa wenye MAARIFA na...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25 Januari 2025, katika Viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma.
Maadhimisho haya yanayoandaliwa kila...
Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa
Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa ni mapatano/makubaliano ya kuishi pamoja watu wa jinsia mbili tofauti kama mke na mume kwa muktadha...
Rais wa 47 wa Marekani Donald Trump amesema anatairekebisha sheria ya Talaka Nchini humo akisema imekuwa ikiwatesa wanaume nchini Marekani na kuwafaidisha wanawake licha ya wanawake wengi kuwa wameolewa na wamezikuta Mali.
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata...
Habari wadau!
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia.
Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama Surf la maana, walinzi wa maisha wa Familia za viongozi Hawa, Dobi, mtunza bustani na Mahouse maid...
Niaje niaje, lengo la uzi wangu sio kubishana na mamlaka za serikali bali naomba kupata ufafanuzi. Nimelileta hapa jukwaani suala la DCC kukamata vile vitoyo vya kuchaji na kuvipiga faini kwa kupaki mjini na kuvilipisha parking ya tsh 50,000 kwa kila mwezi.
Je, ni sawa kulipisha hiyo pesa? Ipo...
Hatuwazuii kuwa na biashara hapa Tanzania ila lugha kwenye mabango yao kwa nini wanaweka kichina wakati lugha za taifa ambazo zinaruhusiwa kwenye mass media, mid media na banners ni mbili tu. Sheria ipo ila inakanyagwa na hakuna anayesema kitu.
Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani.
Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM ilishusha bus ya Yutong karibu hamsini, wakati huo huo kunachama ata Ofisi hakina. JE hapa fairness...
Majaji wa Mahakama Kuu ni sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya Wakili, Jaji anaweza kumchukulia hatua za kinidhamu Wakili kwa kukiuka sheria ya uwakili The Advocates Act, siku hizi Mawakili wakishindwa hoja mahakamani wanatoka nje na kulaumu mahakama kuwa imekosea ili wananchi tuamini kuwa mahakamani...
Habari.!
Nina kitu kimoja nataka nijue kutoka kwa wenzetu wa sheria.
Kuna kiwanja kipo maeneo ya Tegeta ambacho ni cha baba yetu ambae alishafariki miaka 20 iliyopita, aliacha watoto watatu, wa kiume mmoja ambae ni mimi na wa kike wawili.
Kwa bahati mbaya katika watoto wa kike, mmoja...
Si mara ya kwanza hili limefanyika, kwamba Polisi watamkamata mtu, watamuweka ndani, halafu akiwa ndani ndio wanaanza kujiuliza, sasa huyu tumfikishe mahakamani kwa kutumia vifungu gani vya sheria?
Ndio maana ni rahisi sana Tanzania kukamatwa na kupelekwa mahakamani, kuachiwa na hakimu, kisha...