Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".
Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").
Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu.
Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu.
Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu!
Hao Wayahudi ambao wakristo...
1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate
2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu
Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu.
Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea.
Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni.
Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni.
Wasabato wanaamini wao...
Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa.
Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc
Sasa katika Ku-hold power mainly spiritual power ndo unagundua kuwa hauwezi kusema God exist and devil exist na hauwezi...
Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?)
Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil.
God and devil are the same
Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki
Wanampa mtu utajiri na umasikini
Wanatoa laana .
N.k
So usipokuwa makini you will hustle in vain forever
Lazima ukae na hawa coordinator in...
Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza.
Top 5 zangu
Million years ago - Adele
Sikati Tamaa - Darasa
Moyo Wangu - patrick kubuya
Voilà - Barbara Pravi
Dear Mama - 2pac
https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama Mungu alimsamehe. Je Mungu bado ana kinyongo na Shetani?
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.
NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
Leo nilikuwa nausikiliza wimbo ya Bahati bukuku KAMPENI, na humo ndani anasema kwamba shetani Yuko kwenye kampeni.
Hajakosea Ni kweli shetani Yuko kwenye kampeni lakini je katika hiyo kampeni anashindana na Nani?
Hapa jibu Wala halihitaji elimu ya...
Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha iliyotumika ni ngumu, google translator itakusaidia kupata tafsiri ya Kiswahili:
Name: Satan (aka...
Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo:
1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
Salaam, shalom!!
MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni.
Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama?
Jibu ni Rahisi tu,
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI.
Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo:
Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu.
Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu.
Tatu, shetani ana akili sana kuliko mungu. Kwa sababu, pamoja na kupigwa vita na kila mmoja, hana...
Salaam, Shalom!!
Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa.
Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.