Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".
Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").
Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
Maswali yanaendelea....
Mungu ndiye chanzo cha yote[kwa wale wanaoamini] je ndio chanzo cha mbegu ya uasi wa shetani?
Kwanini laana ya Mungu iendelee kutafuna vizazi hata vizazi kwa kosa lililofanywa na watuwawili waliombwa na Mungu mwenyewe?
Kuna mahali kokote kwenye biblia pameonesha...
MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE
POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi.
Kwa mujibu wa...
Ndugu zangu, Wife bana kajifungua kama mwezi hivi, tunashukuru sana kwa Mungu mtoto wa 2 sasa. Safari hii tofauti na mwanzo kajifungulia hapa hapa na tukiwa tushaamia mjengoni nje ya jiji hukoo sijui.
Kama ilivyo kawaida japo tuna Dada wa kazi lazima tupate mtu wakukaa na Mzazi hapo ndo...
Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani.
Kuna Mtu...
Hii Corona haiui kwenye kitu kimoja wakati mwingine inachochoe ugojwa mwingine na nampongeza sana Magu kwa kujificha kijijini kwa zaidi ya mwezi.
Kila siku tutasikia misiba lakini kibaya wale wengi ambao si wanasiasa hatuwasikiia.Tuombe Mungu dawa ipatikane maana hali ni mbaya.
Pamoja na...
Kuna andiko katika biblia sikumbuki mstari gani lakini nakumbuka yesu alikuwa anafundisha wafuasi wake akasema mpanzi alikwenda kupanda mbegu katika konde lakini zilipoota zikaota na magugu mwenye shamba alauliza mbona nilipanda mbegu nzuri magugu yametoka wapi? Yesu akawaambia yule mwovu Usk...
Wanabodi
Japo kwa kawaida usiku ni wakati wa kulala na kupumzika, ila kwa watu ma jobless wakiwemo kada yangu ya watu wa "mishe mishe", moja ya usiku ngumu sana, huwa ni usiku wa Jumapili kuamkia Jumatatu ambayo umeipitisha weekend kwa mazabe mazabe, halafu blue Monday inakuja!, usingizi huwa...
Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo
Ulipohitaji Vipimo...
Wakuu mtanisamehe sana kwa kuwarudisha nyuma mwaka 2015 kwenye uzinduzi wa bunge Jipya baada ya Uchaguzi Mkuu ambayo ilikuwa ndio siku ya kwanza kabisa kwa Rais mpya kulihutubia bunge hilo jipya na kulizindua.
Wabunge wote wa Upinzani waliotokana na (UKAWA) walitoka nje kama ishara ya kupinga...
Kama kuna pepo linalowamaliza watanzania leo hii ukiacha cancer na hiv n vifurishi vya data
Yaani Watanzanià wameingiliwa na hili pepo ambalo imefika radhi wanunue vifurushi watoto wanywe chai na mkate
Wako radhi wakose nauli kesho wawatumie mahawara zao ama bibizao vifurushi
Kiukweli...
Unyama mliofanyiwa dunia nzima imeona na wala hakutakuwa na mshangao wowote iwapo mtakataa kuonewa tena , mmeuawa waziwazi , mmeteswa waziwazi , mmekamatwa hovyo hovyo , mmekatwa mapanga kwa namna walivyotaka , mmebambikwa kesi nyingi za kutunga , mmefungwa bila huruma , mmenyanyaswa kwa kiwango...
Jamaa kauliza
'' Kanisa la shetani ninawezaje kujiunga na Illuminati? ''. '' nataka kuwa tajiri'''.
JIBU LA KANISA LA SHETANI
'' Illuminati inamaanisha kuwa na akili au mwangaza, Hivyo soma vitabu, Jielimishe hivyo utakuwa Illuminati, kama bonasi kujielimisha kutakufanya kuwa na hatua nzuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.