shetani

Shetani (kwa Kiebrania שָׂטָן Satan, kwa Kigiriki Σατανᾶς Satanâs, kwa Kilatini Sátanas) ni jina linalomaanisha "Mpinzani"; "Mshtaki".

Shetani anajulikana pia kama Ibilisi (kutoka Kigiriki Diabolos, -ou, "Anayetenganisha"), Mtawala wa giza, Mkuu wa ulimwengu huu, Belzebub (jina la dhihaka kwa mungu Baal linalotafsiriwa "Bwana wa nzi"), Belial, Lusiferi (kutoka Kilatini Lucifer, "Mleta mwanga").

Kadiri ya imani ya dini mbalimbali, hasa zile zinazokubali ufunuo waliopewa Waisraeli, shetani ni malaika, roho, au mungu mdogo anayewakilisha uovu unaopingana na Mungu. Baadhi ya watu, kwa mfano Wakristadelfiani, hufundisha kwamba Shetani si nafsi hai, bali mfano tu wa uovu na dhambi.
  1. F

    Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  2. R

    Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  3. Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  4. Dini ni hatari kuliko shetani mwenyewe.

    Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu. Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea. Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni. Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni. Wasabato wanaamini wao...
  5. Ujumbe Kwa wanywaji.

    Drink responsibly
  6. Shetani hayupo , devil never exist

    Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa. Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc Sasa katika Ku-hold power mainly spiritual power ndo unagundua kuwa hauwezi kusema God exist and devil exist na hauwezi...
  7. Mkataba na Shetani ni kitu kipo?

    Mkataba na Shetani(Deal with the devil) inasemwa ni kitendo cha mtu kuingia mkataba na Shetani apewe umaarufu, pesa, mamlaka, afya njema nk, kisha yeye anampa Shetani nafsi yake(yaani anajitoa kuwa mali ya Shetani. . . ?) Mfano mmoja ni kitendo cha Shetani kumshawishi Yesu amsujudie, na yeye...
  8. Nanga OG asiposhinda Shindano la Mchekeshaji bora kwa mwaka wa 2024 / 2025 nitajua kuna Watu wana Chuki kuzidi Shetani hapa duniani

    Ana Kipaji cha hali ya juu mno cha Uchekeshaji na pia ni Mbunifu mno. Apigiwe Kura nyingi ili aweze kuibuka Mshindi Ok?
  9. Kila kitu ni mradi hapa duniani (project) na binadamu ni mradi wa Mungu pamoja na shetani these are making big Profits

    Yaani hapa duniani kila kitu ni mradi (project) ambayo ipo designed by God and evil. God and devil are the same Wote hawa ni kitu kimoja. Wanabariki Wanampa mtu utajiri na umasikini Wanatoa laana . N.k So usipokuwa makini you will hustle in vain forever Lazima ukae na hawa coordinator in...
  10. Nyimbo gani zinakuliwaza ukiwa na wakati mgumu?

    Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza. Top 5 zangu Million years ago - Adele Sikati Tamaa - Darasa Moyo Wangu - patrick kubuya Voilà - Barbara Pravi Dear Mama - 2pac https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
  11. Ikiwa Mungu anatuimiza binadamu tusamehane, kwanini yeye hajamsamehe Shetani?

    Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama Mungu alimsamehe. Je Mungu bado ana kinyongo na Shetani?
  12. Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

    1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe. NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu...
  13. Shetani yupo kwenye kampeni

    Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela Leo nilikuwa nausikiliza wimbo ya Bahati bukuku KAMPENI, na humo ndani anasema kwamba shetani Yuko kwenye kampeni. Hajakosea Ni kweli shetani Yuko kwenye kampeni lakini je katika hiyo kampeni anashindana na Nani? Hapa jibu Wala halihitaji elimu ya...
  14. Hii ndiyo “CV” ya Shetani. Hafai kuajiriwa popote!

    Watu wengi wanamsikia Shetani, na wanaamini yupo, lakini hawajui yeye ni nani, alitoka wapi, anafanya nini na malengo yake ni nini. Ifuatayo ni “CV” yake. Imeandikwa kwa Kiingereza. Ukiona lugha iliyotumika ni ngumu, google translator itakusaidia kupata tafsiri ya Kiswahili: Name: Satan (aka...
  15. J

    Mbinu 7 ambazo shetani hutumia kuwaweka watu mbali na Mungu katika dunia ya sasa

    Kwenye dunia ya sasa, shetani anapambana sana kuwaweka watu mbali na Mungu. Na anatumia mbinu na mitindo ya maisha ya dunia ya sasa kufanikisha hilo: 1. Kuvutia watu kwa maisha ya kidunia na mali: Shetani hutumia tamaa za ulimwengu, kama utajiri, umaarufu, furaha za nje, na starehe za mwili...
  16. R

    Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

    Salaam, shalom!! MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni. Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama? Jibu ni Rahisi tu, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI. Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
  17. S

    Ni kwanini kitabu cha Henoko kilifichwa/ kiliondolewa kwenye Biblia? Je, ilikuwa ni mpango wa shetani??*

    Je, Ilikuwa ni mpango wa shetani?? 💫💫💫💫💫 © Mwl. Makungu Ms 0743781910 Ndugu mpendwa, watu wengi hawajui ya kuwa wakati Biblia inaandaliwa/ inakusanywa ili iwe mjumuiko wa vitabu vya pamoja, kuna vitabu vingine havikuingizwa. Na vingine viliingizwa halafu baadae vikatolewa tena...
  18. Je, mungu ni shetani na shetani ni mungu?

    Ukitafakari bila woga wala uzwazwa dhana mbili yaani mungu na shetani, unagundua yafuatayo: Mosi, wote wawili waliumbwa au kufinyangwa na binadamu. Pili, shetani ana nguvu sana kuliko mungu. Tatu, shetani ana akili sana kuliko mungu. Kwa sababu, pamoja na kupigwa vita na kila mmoja, hana...
  19. R

    Ni Rahisi sana kuhimili mashambulizi ya Shetani kuliko kutandikwa na Mungu

    Salaam, Shalom!! Ni Rahisi sana kutolewa ugonjwa au LAANA iliyosababishwa na Hila za shetani na mapepo yake, lakini ugonjwa au LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi huna namna ya kuiondoa. Ukipatwa na LAANA Toka Kwa Mungu au wazazi waliokulea, huwezi pata msaada kwingine kokote, hayupo wa kukuombea...
  20. Wasomaji wa Biblia Kwanini shetani hakumgusa mke wa Ayubu

    Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu. Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…