Katika harakati za utafutaji nakumbuka niliamua kutoka Singida kwenda Mbeya na baiskeli, nilikuwa sina hata mia mfukoni.
Nilipofika Itigi baskeli ikapata pancha, jumlisha njaa nikauza simu yangu niliyo inunua 70,000 kwa 10,000, power bank niliyoinunua kwa 20,000 nikauza 7,000, nikapata pesa ya...