Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!.
Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year.
Ila kila nikikaa machale yananicheza.
Page pendwa yangu ikawa tma.
Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani.
Refer hapa...
Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane
Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka mende au panya uvunguni 🤣🤣🙌
Wakuu
Yaani salamu za shikamoo zimekuwa nyingi sana, wakati nikijiangalia kwenye kioo bado najiona Handsome.
Ni mnyamwezi fulani hv najipenda muda wote nanukia, kipato si haba. Nina O moja matata. Nywele zangu ni kama za kiarabu kwahiyo kinyozi anakula angle hatari. Ila Dah shikamoo zimekuwa...
Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa!
Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae!
Dah....!
Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo alivyomsalimia pia rafiki yangu ambaye ni ndugu yake wa damu.
Japo niliitikia, lakini ilikuwa kwa...
Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo.
Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah!
What a shame ila...
Unapofikisha miaka 30, wewe ni mtu mzima, a chana na Salaam ya Shikamoo.
Shikamoo inapaswa kutumia na watoto wadogo (29 below). Mtu mzima una watoto, wengine wajukuu, eti na wewe unaamkia shikamoo.
Ni aibu mtu una miaka 30 above unaamkia shikamoo. Ni kujidanganya, kujirudisha nyuma. Ni...
Binafsi sare ya 0-0 dhidi ya timu ya wachambuzi (Ubuntu botho) sio matokeo niliyokuwa nikiyataka sababu niliamini Yanga sc, tulikuwa na nafasi ya kushinda huu mchezo kibabe, tena katika style ya soka la kisiasa, söka la malengo na sio kukimbia kimbia tu kama kondoo aliyekatwa kichwa "kibu...
Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana.
Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu (...
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na...
Leo ninajambo hili,tabia ya kuwaacha watendaji wa mitaa au kata hata polisi wa kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji.
Mfano unakuta mtendaji hayupo ofisini yupo kijiwe anapiga stori,kashfa ya wake au waume za watu.pia ktk hali hiyo hata kuchukuwa hatua...
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Tunakusalimia kutokea mitaa Mwanayamala hospital, Mwembe Yanga na Tandika Devis Coner na Kigamboni darajani na Sinza Mugabe na Kinondoni studio DSM. Shikamoo brother....!!!!!
Salamu zikufikie braza
😂🤣🤣
Salaamu ni uungwana braza
Napata wakati mgumu kupokea shikamoo barabarani, kwakweli wataki niko teenager, sijui nilikuwa nachukuliaje nikisikia mtu anamiaka 25, 30 nk.
Napata mashaka kwamba hata miaka 40 na 50 itafika kiutani utani na nitaanza kuitwa mzee bila mimi kujua nimefikaje fikaje hapo!
Uliwezaje kukubaliana na...
Mabadiliko ya mawaziri ambayo yamekuwa yakifanywa tangu rais Samia aingie madarakani, yamelenga kupunguza wale wenye umri mkubwa (Senior Citizens) katika nafasi hizo ili kuwapisha au kuwaingiza under 50.
Hili litaenda hadi ndani ya majeshi yetu na taaisi nyingine za usalama.
Mkakati uliopo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.