Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza.
Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
Wasalaam wana JF
Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana.
Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani.
Mwenye Enzi Mungu...
Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani.
Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na...
Loo! Dunia inakwenda kasi wakuu,
Mwanamama kanitamkia kwa sauti, "Kaka shikamooo", watu wote niliokuwa nao karibu wakageuka kunitizama, wakapigwa na bumbuwazi, bila iyana nikaitikia, "Marhabaaa, ujambo!!?" akaitikia kwa kutikisa kichwa, akanitazama, kisha akaendelea na safari...
Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar.
Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi.
Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi?
Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona?
Yanga SC...
Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi.
Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
Mh Rais, Kwasiku 100 ulizoongoza nchi zimekuwa za kutukuka sana, Taifa limepumua na kuonyesha mageuzi makubwa sana, Kwahakika nakupongeza sana sana, Umewathibitishia wazi unaweza kwa wale waliodhani huwezi kuongoza nchi.
Jambo la msingi leo naomba kuzungumzia kikao chako cha jana, ambapo...
Poleni na kazi wakuu,
Katika maofisi mbalimbali kunawatu mwonekano wao huwa na utata either mwili mdogo au umri wake hautabiliki kiasi cha kukufanya uwe njia panda kumpa shikamoo au la.
Ila kuna watu wanapenda kuonekana wakubwa hata kama ni wadogo mfano watu wengi kutokea mkoa wa Mbeya.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.