shikamoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pot ya watoto wa kijijini! Shikamoo akina mama!

    Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
  2. Shikamoo kilimo

    Nilitenga milioni kumi. Ndiyo 10m!. Nikaingia porini. Niliweka watu wakasafisha pori. Hiyo ilikua December last year. Ila kila nikikaa machale yananicheza. Page pendwa yangu ikawa tma. Yes bila hiyana nikasoma kua mvua zitanyesha chini ya wastani. Refer hapa...
  3. Wanawake shikamoo

    Ninyi watu mnatakiwa muishi dunia yenu peke yenu kijana wa watu kalizwa uko unabeba vitu unaenda navyo wapi kwanini usitafute vyako tusinyonyane Huyu mwingine kagundua style mpya ya kusaka mende au panya uvunguni 🤣🤣🙌
  4. Mbona shikamoo zimekuwa nyingi

    Wakuu Yaani salamu za shikamoo zimekuwa nyingi sana, wakati nikijiangalia kwenye kioo bado najiona Handsome. Ni mnyamwezi fulani hv najipenda muda wote nanukia, kipato si haba. Nina O moja matata. Nywele zangu ni kama za kiarabu kwahiyo kinyozi anakula angle hatari. Ila Dah shikamoo zimekuwa...
  5. Bidhaa zinazoingiza mapato makubwa zaidi ya kikodi Tanzania 2023/24: Pombe yachangia bilioni 929

    SOURCE: The Chanzo 1.⛽️Mafuta- Trilioni 3.6 2.🍻Bia- Bilioni 609 3.🍸Spiriti na Konyagi- Bilioni 320 4.📲Simu- Bilioni 320 5.🚬Sigara- Bilioni 275 6.🍶Vinywaji baridi- Bilioni 188 7.🧋Sukari- Bilioni 89.6 8.🧱Saruji- Bilioni 75 9.🥤Maji ya chupa- Bilioni 72 10.🏭Gesi asili matumizi viwandani- Bilioni 54
  6. Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  7. Nani anastahili salam ya shikamoo?

    Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo alivyomsalimia pia rafiki yangu ambaye ni ndugu yake wa damu. Japo niliitikia, lakini ilikuwa kwa...
  8. Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

    Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo. Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah! What a shame ila...
  9. Ukifikisha miaka 30 achana na salamu ya shikamoo, ni unafiki

    Unapofikisha miaka 30, wewe ni mtu mzima, a chana na Salaam ya Shikamoo. Shikamoo inapaswa kutumia na watoto wadogo (29 below). Mtu mzima una watoto, wengine wajukuu, eti na wewe unaamkia shikamoo. Ni aibu mtu una miaka 30 above unaamkia shikamoo. Ni kujidanganya, kujirudisha nyuma. Ni...
  10. Shikamoo master tactics "Gamond"

    Binafsi sare ya 0-0 dhidi ya timu ya wachambuzi (Ubuntu botho) sio matokeo niliyokuwa nikiyataka sababu niliamini Yanga sc, tulikuwa na nafasi ya kushinda huu mchezo kibabe, tena katika style ya soka la kisiasa, söka la malengo na sio kukimbia kimbia tu kama kondoo aliyekatwa kichwa "kibu...
  11. Wahaya shikamoo

  12. G

    Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

    Simba kuweka uwanja wa nyumbani Moro ni sawa na Yanga waweke uwanja wao Tanga, Haraka sana maamuzi yafanyike
  13. Shikamoo biashara

    Wakuu Wale mliofanikiwa kuanzisha biashara zenu na zimedumu mpaka sasa SHIKAMOONI WAKUBWA. Hili game sio la kitoto for beginners.
  14. Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda mrefu sana. Sauti ya Kipekee ya Fally Ipupa inaendana vyema kabisa na Nyimbo zake zote za taratibu (...
  15. Nani anamlinda Gekul? DPP asema hana mpango wa kuendelea na kesi

    ==== Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
  16. Kuwaacha watendaji wa mitaa au kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji

    Leo ninajambo hili,tabia ya kuwaacha watendaji wa mitaa au kata hata polisi wa kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji. Mfano unakuta mtendaji hayupo ofisini yupo kijiwe anapiga stori,kashfa ya wake au waume za watu.pia ktk hali hiyo hata kuchukuwa hatua...
  17. Chalamila shikamoo brother

    🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Tunakusalimia kutokea mitaa Mwanayamala hospital, Mwembe Yanga na Tandika Devis Coner na Kigamboni darajani na Sinza Mugabe na Kinondoni studio DSM. Shikamoo brother....!!!!! Salamu zikufikie braza 😂🤣🤣 Salaamu ni uungwana braza
  18. Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    Napata wakati mgumu kupokea shikamoo barabarani, kwakweli wataki niko teenager, sijui nilikuwa nachukuliaje nikisikia mtu anamiaka 25, 30 nk. Napata mashaka kwamba hata miaka 40 na 50 itafika kiutani utani na nitaanza kuitwa mzee bila mimi kujua nimefikaje fikaje hapo! Uliwezaje kukubaliana na...
  19. M

    Kwanini wanawake watu wazima hawataki kuamkiwa shikamoo?

    Inatokea kila mara, unamuakia kwa heshima zote anaitikia habari yako! Kwa nini? Hawataki kuheshimiwa?
  20. Ni Mkakati wa kuwaondoa 'Shikamoo', ili kuikabidhi nchi kwa vijana

    Mabadiliko ya mawaziri ambayo yamekuwa yakifanywa tangu rais Samia aingie madarakani, yamelenga kupunguza wale wenye umri mkubwa (Senior Citizens) katika nafasi hizo ili kuwapisha au kuwaingiza under 50. Hili litaenda hadi ndani ya majeshi yetu na taaisi nyingine za usalama. Mkakati uliopo hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…