shikamoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baada ya kuipata CV ya Kiutendaji ya CDF General Mkunda niseme tu Shikamoo Kwake

    Hakika Jeshi la Tanzania limempata anayelijua vyema na anayeliweza na Kuwamudu Maadui zote wa Ukanda na hata wale wa Kimataifa wakithubutu Kujitokeza. Atalisaidia sana tu Jeshi letu la JWTZ.
  2. Single Again, shikamoo Harmonize

    Itoshe kusema wewe unajua na usikate tamaa tunategemea nyimbo nyingi nzuri mwaka huu Mungu akulinde sana
  3. Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  4. Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

    Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
  5. Ni nini maana ya neno "Shikamoo"

    Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu? Ama lilikopwa kutoka lugha nyingine. Je lina maana gani. Naombeni nifahamishwe kuhusu neno hilo na...
  6. Nimepewa shikamoo na mwanamama umri kati ya miaka 38 na 45

    Loo! Dunia inakwenda kasi wakuu, Mwanamama kanitamkia kwa sauti, "Kaka shikamooo", watu wote niliokuwa nao karibu wakageuka kunitizama, wakapigwa na bumbuwazi, bila iyana nikaitikia, "Marhabaaa, ujambo!!?" akaitikia kwa kutikisa kichwa, akanitazama, kisha akaendelea na safari...
  7. Shikamoo 'Fundi' Khalid Aucho na tafadhali endelea hivyo hivyo tu kuwaweka Yanga SC wote Kiganjani na Kuwafanya vile utakavyo

    Yanga SC: Tafadhali rudi utusaidie huko Mapinduzi Cup Zanzibar. Khalid Aucho: Hamna Akili pitieni upya Mkataba wangu nanyi. Yanga SC: Hivi ni kwanini Unatusumbua hivi? Khalid Aucho: Wakati mnanishobokea na Kunihitaji kwa Udi na Uvumba Wachezaji wasio Wasumbufu duniani hamkuwaona? Yanga SC...
  8. M

    Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  9. Shikamoo

    Shikamooni membaz wote wa Jamii Forums.
  10. A

    Tafakari na Kipanya: Mchungaji anaacha mifugo ijiongoze yenyewe

  11. Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

    Mh Rais, Kwasiku 100 ulizoongoza nchi zimekuwa za kutukuka sana, Taifa limepumua na kuonyesha mageuzi makubwa sana, Kwahakika nakupongeza sana sana, Umewathibitishia wazi unaweza kwa wale waliodhani huwezi kuongoza nchi. Jambo la msingi leo naomba kuzungumzia kikao chako cha jana, ambapo...
  12. Huwa unapotezeaje kumpa shikamoo mtu usiye kuwa na uhakika anastahili shikamoo?

    Poleni na kazi wakuu, Katika maofisi mbalimbali kunawatu mwonekano wao huwa na utata either mwili mdogo au umri wake hautabiliki kiasi cha kukufanya uwe njia panda kumpa shikamoo au la. Ila kuna watu wanapenda kuonekana wakubwa hata kama ni wadogo mfano watu wengi kutokea mkoa wa Mbeya. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…