shimwi moshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Akwilapo atembelea wachezaji wa ardhi sports wanaoshiriki mashindano ya SHIMWI Moshi

    KILIMANJARO- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amezungumza na wachezaji wa timu ya Ardhi Sports inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI mkoani Kilimanjaro na kuwataka kuzingatia nidhamu wakati wote wawapo michezoni. Dkt. Akwilapo amekutana na wachezaji hao...
Back
Top Bottom