KILIMANJARO- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amezungumza na wachezaji wa timu ya Ardhi Sports inayoshiriki mashindano ya SHIMIWI mkoani Kilimanjaro na kuwataka kuzingatia nidhamu wakati wote wawapo michezoni.
Dkt. Akwilapo amekutana na wachezaji hao...