shindano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Nanga OG asiposhinda Shindano la Mchekeshaji bora kwa mwaka wa 2024 / 2025 nitajua kuna Watu wana Chuki kuzidi Shetani hapa duniani

    Ana Kipaji cha hali ya juu mno cha Uchekeshaji na pia ni Mbunifu mno. Apigiwe Kura nyingi ili aweze kuibuka Mshindi Ok?
  2. Waufukweni

    Washiriki wa shindano la urembo wazuiwa kuvaa mawigi, watakiwa kuonyesha nywele zao za asili

    Kamati ya maandalizi ya shindano la urembo nchini Ivory Coast (Miss Côte d’Ivoire 2025 -COMICI) imetangaza kuwa katika hatua za awali za mchujo, washiriki hawataruhusiwa kutumia nywele za bandia. Badala yake warembo wote wanapaswa kuonyesha nywele zao za asili, iwe ni ndefu, fupi, au zimekatwa...
  3. J

    Hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024

    Matukio yaliyoendelea katika hafla ya utoaji tuzo kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change iliyofanyika Septemba 21, 2024 katika Hoteli ya Johari Rotana, Dar es Salaam, ikihudhuriwa na Wageni Mashuhuri wakiwemo Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau ambaye alikuwa Mgeni...
  4. Pascal Mayalla

    Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

    Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
  5. Genius Man

    LGE2024 Katika shindano la stories of change 2024 nilieleza wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi

    Katika shindano la "stories of change" ambalo lilikuwa likilenga maboresho ya msingi yanayopaswa kufanyika ndani ya taifa ili kuipata Tanzania tuitakayo katika nyanja mbali mbali ikiwemo masuala ya sheria. Niliezea wazi udhaifu wa sheria zetu za uchaguzi kwamba zipo kama mapambo na Haziwezi...
  6. SAYVILLE

    Shindano la Mbio za Riadha kati ya Kevin Kijili vs Chadrack Boka

    Kuna hii vita nyingine inaendelea kimya kimya kati ya beki wa kulia wa Simba Kevin Kijili na beki wa kushoto wa Yanga Chadrack Boka. Ni vita ya mchezaji mwenye mbio zaidi. Ebwana hizi mutu zinakimbia. Nadhani huko wanapotoka walikosa fursa za kuwa wanariadha wakajikuta wapo kwenye Soka. Wazee...
  7. Gulio Tanzania

    Kumbe kuna shindano la kumsifu mama samia

    Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
  8. JamiiForums

    SoC04 Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka MSHINDI. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linaloelezea TANZANIA...
  9. JamiiForums

    SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
  10. P

    Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

    Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000. Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo. ==========For English Audience...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  12. BARD AI

    Wizara ya Afya imetangaza Shindano la kuandaa Jina na Nembo ya Mpango Jumuishi wa UKIMWI, Homa ya Ini na Magonjwa ya Ngono

  13. GENTAMYCINE

    Kama Timu za Tanzania Kufa Kiume Mashindano ya CAF ni Sifa basi tuwaombe CAF waandae Shindano la WAFAO KIUME CUP tulibebe

    Kauli yangu ni moja tu na tena ni Takatifu kabisa kuwa HATUMO na TUMESHATOLEWA rasmi Mashindanoni hivyo hizo Kauli zenu za Kinafiki na Kipuuzi za Timu zetu KUFA KIUME msiwe mnazisema mbele yangu nisije Kumzabua Mtu Makofi bure sawa?
  14. GENTAMYCINE

    Wakati Rwanda na Saudi Arabia wako 'busy' kujitangaza Kiutalii AFL wenyeji wao wanabung'aa bung'aa tu!

    Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu...
  15. JamiiForums

    Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  16. Mundele Makusu

    Mashindano ya uvuvi ni balaa

    Katika Nchi ndogo iliyopo Ulaya iitwayo Montenegro, mashindano ya kumtafuta Mtu mvivu zaidi hufanyika kila mwaka na mwaka huu washindani saba wamejilaza kwenye mikeka wakipambania kombe hilo katika jitihada za kuvunja rekodi ya awali ya saa 117 iliyowekwa mwaka jana katika kijiji cha mapumziko...
  17. Teko Modise

    Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  18. B

    Nina Milioni moja: Shindano Nyimbo za Hamasa Katiba Mpya kwa wasanii chipukizi na Kongwe

    Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila. Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya. Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
  19. Jamii Opportunities

    SADC, Shindano la kuandika insha kwa shule za sekondari

    Shindano la kuandika Insha kwa shule za Sekondari
  20. GENTAMYCINE

    Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

    Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha. Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia...
Back
Top Bottom