shindano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums

    Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

    Baada ya takriban miezi 4 ya kusubiri kumjua atayejishindia zawadi ya andiko bora kwenye kinyang'anyiro cha storie of change 2022 siku imefika, leo ndio leo, washindi watatangazwa na kupewa zawadi zao. Mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5...
  2. Kurunzi

    Kanuni Mpya ya Mpya ya TFF, Shindano la Jamii Ngao ya Jamii Kushirikisha Timu 4

    Kwa mujibu wa Barua iliyotumwa kwa vyombo vya Habari, Kupitia kwa Bodi ya Ligi, Bodi imeboresha kanuni ya Ngao ya Jamii ambapao kwa kwa kanuni mpya kutakuwa na shindano la Ngao ya jamii ambalo litashirikisha timu 3 za juu kwenye ligi, ambapo ikiwa timu ni mshindi wa kombe la FA na ipo kwenye...
  3. N

    SoC02 Sera ya mfumo mpya wa Elimu

    SERA YA MFUMO MPYA WA ELIMU. Binafsi, Kama kijana naumia sana kuona watoto, vijana na watu wengine kwenye jamii zetu wanapoteza uwezo wao wa kipekee walio zaliwa nao eti kisa, MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA. MFUMO WA ELIMU ULIOPO SASA, Ni Mfumo ambao, haujatengenezwa kwa ajili ya kila...
  4. K

    Nitampigia kura kila mshiriki wa shindano la Stories of Change

    Haya ni maamuzi yangu sijashawishiwa na mtu na sitegemei ahsante ya aina yoyote
  5. JamiiForums

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
  6. L

    Shindano la kutembea kwenye kamba katika urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani lafanyika Zhangjiajie, China

    Shindano la kutembea kwenye kamba angani limefanyika katika Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Huangshizhai huko Zhangjiajie, China. Watu 10 wameshindana kwa kutembea juu ya kamba kwa urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani.
  7. Mgagaa na Upwa

    Yanga walikua sahihi kujitoa kwenye shindano la nani zaidi

    Ndani ya wiki moja simba iliweza kuingiza milioni 90 kwenye hili shindano,baada ya Yanga kujitoa ndani ya siku 3 simba wanasufer kuingiza milioni 3,sababu za Yanga kujitoa japo azikuwekwa hadharani ila tetesi zinadai kuna ujanja ulikua unafanyika kuhamisha miamala
  8. Donnie Charlie

    Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

    Ngamia 40 wameondolewa katika shindano la kumtafuta Ngamia Mrembo (Miss Camel Beauty) Saudi Arabia kutokana na udanganyifu ikiwemo kuchomwa sindano ya Botox ili kupunguza mikunjo na kuwafanya waonekane warembo zaidi. Shindano hilo ni moja ya shughuli katika Tamasha la Ngamia.
  9. Analogia Malenga

    Bondia afariki baada ya kupigwa KO katika shindano la ndondi

    Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare. Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam, alifariki siku ya Jumatatu, baada ya kuzimia wakati wa pambano lisilo la ubingwa siku ya Jumamosi. Ni...
  10. Theb

    Niwape pongezi washindi na wote walioshiriki shindano la Stories of Change

    Ndugu wana jamii forum. Leo niwape pongezi wale wote walioibuka washindi katika lile shindano la uandishi hapa jamii forum, na pongezi zingine pia kwa wale wote waliondika maandiko mbali.mbali yenye kuelezea changamoto, maoni, ubunifu, uongozi, nk. 1. Hongera kwako Abrianna jwa kuibuka...
  11. Rebeca 83

    Wale tuliopata PM za ushindi wa shindano la story of changes na baadae tukaangukia pua njooni tujifariji humu

    Hello JF, Inauma kuwa close to the finishing line halafu usipate 😊😥 Hongereni washindi, sisi wengine tusubiri shindano lijalo, very sad.
  12. JamiiForums

    Mrejesho: Je, ulishiriki shindano la “JF Stories of Change?” Kuwa karibu na PM yako

    Ule wakati wa Washindi wa Shindano la Stories of Change kujulikana umewadia. Muda wowote kuanzia sasa jopo la majaji baada ya kupitia, kuchambua maandiko na kujiridhisha na maamuzi yao, litakabidhi maandiko yaliyofanikiwa kushinda kwa timu ya uratibu wa shindano. Washiriki wote wa Shindano la...
  13. GENTAMYCINE

    Kuna shindano lolote labda linaloendelea la wanawake wa mijini kufuga nywele sehemu za siri kwa fujo?

    Siku hizi kama ikitokea umetembea ( umefanya mapenzi ) na Wanawake kati ya Watano hadi Saba basi usishangae ambao wamenyoa ' mavuzi ' yao ni wawili au mmoja tu na ' sometimes ' hata hakuna aliyenyoa bali wote wapo katika zoezi zuri la Uoto wa Asili kwa kufuga mavuzi / unywele sehemu zao za Siri...
Back
Top Bottom