Wiki moja iliyopita, viongozi wakubwa wa kimataifa walikusanyika London kwa ajili ya mazishi ya kiserikali ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza. Sasa wengi wao wanaelekea upande wa pili wa dunia kwa mazishi mengine ya kiserikali ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan aliyeuawa, Shinzo Abe.
Lakini...
Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.
Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
Nchi ya Japan itatumia zaidi ya dola za Kimarekani milioni 1.83 kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Shinzo Abe baadae septemba 27 mwaka huu.
Uratibu na gharama zote za mazishi kwa kiongozi huyu aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi kuliko mawaziri wakuu wote nchini humo yataandaliwa...
Itaru Nakamura Mkuu wa Jeshi hilo amesema kuwa ameamua kuwajibika juu ya dosari za Usalama ambazo uchunguzi ulionesha kuwa Jeshi halikumlinda ipasavyo Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022.
Taarifa hiyo inakuja wakati ripoti yaUchunguzi iliyotolewa leo ikionesha kuwa...
By now, you have probably already heard about the assassination of former Japanese Prime Minister Shinzo Abe, who was shot dead during a recent campaign rally. But what you may not know is that Abe was a fierce health freedom fighter who opposed Wuhan coronavirus (COVID-19) “vaccines,”...
Mtuhumiwa wa mauaji ya Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe, amedai kuwa silaha aliyotumia aliitengeneza nyumbani na alitengeneza nyingine kadhaa za aina hiyo.
Polisi wa Nara Nishi wamesema mtuhumiwa Tetsuya Yamagami, 41, amekiri kufanya shambulizi hilo kwa sababu binafsi alitumia silaha...
Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara.
Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.