Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali.
Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni mwema
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.
Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
=====