shirika la ndege la tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania WAJIBU: Hasara ya ATCL yafikia Tsh. Bilioni 191.19, Madeni ya mashirika 85 yafikia Tsh. Trilioni 5.49

    Afisa Tafiti na Uchambuzi wa Sera wa Taasisi ya WAJIBU amesema mashirika ya umma yanayojiendesha kibiasara bado yanakabiliwa na changamoto kubwa za utendaji, ikiwemo hasara, upungufu wa ukwasi na utegemezi wa mikopo. Amesema mashirika 22 kati ya 54 yalipata hasara kwa kipindi cha mwaka mmoja...
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ni jambo ka kushukuru Mungu ndege zilizonunuliwa kipindi cha Hayati Magufuli hazijawahi kupata ajali

    Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali. Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni mwema
  3. J

    JamiiForums Tanzania Sugu ataka ATCL nayo ibinafsishwe Dubai kwani imeshindwa kutoa Huduma

    Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL. Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. =====
Back
Top Bottom