Wakuu ningependa kumfahamu admin wa Page za Ruvu Shooting mtandaoni.
Huyu amekuwa na uandishi wa aina yake kabisa tofauti na wa timu zingine kwani amekuwa akiandika kwa uandishi wa kuchekesha hata kama wamefingwa.
Pia ni admin pekee aliyetumia page ya Twitter ya Ruvu shooting kuzitakia timu za...