shopping

  1. Jackson News

    Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  2. City Owl

    Umuhimu wa namba ya TIN Kwenye Shopping

    Wakuu, Kila mara ninapolipia bidhaa toka hizi supermarkets, napewa option ya kujaza nambari yangu ya mlipa kodi, maarufu kama TIN number kwenye receipts. Swali: Je, kuna faida yoyote direct/indirectly ninaweza kupata nikianza kuijaza?
  3. Mr Alpha

    Unaambiwa P. Diddy kwa 50 Cent aligonga mwamba

    50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?" 50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu...
  4. PureView zeiss

    Utafiti: Wanaosafiri wana raha sana kuliko shopping

    Utafiti mpya umeonesha kwamba Watu ambao wanatumia pesa zao kwa mambo kama vile kusafiri na kuhudhuria matukio ya burudani wana furaha zaidi kuliko wale wanaozingatia kuwekeza kwenye mavazi, kununua simu kali na vitu vingine kama hivyo ‘material goods’. Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida...
  5. Mr Chromium

    Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

    Wakuu, Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti, Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema. Chamsingi anza kulipa deni lake ndo...
  6. Jaji Mfawidhi

    Maraisi wa Afrika toka 2008 mpaka 2024 walioenda Marekani walijipeleka Window Shopping?

    Nasikiliza BBC, Wanasema Ruto Ndio Rais Wa Kwanza Kutoka Afrika Kufanya Ziara Rasmi ya Kiserikali Nchini Marekani Kwa Takribani Miaka 15, Nimebaki Najiuliza Hawa Marais Wa Afrika Wanaoenda Marekani Kila Siku Wanaenda Kufanya Nini? Kupumzika? Kutembea? Au Kushangaa? Window shopping? Marekani...
Back
Top Bottom