Sisi wanawake tuko werevu kuliko wanaume. Mwanamke akiwa na lake jambo, lazima litimie kwa gharama na njia yoyote. Halali au haramu.
Mwanamke akiwa mchawi anakuwa mchawi wa kutisha. Mwanamke akishaamua ashike mtutu wa bunduki asonge mbele, hakuna cha kumzuia.
Mwanamke akiamua kuuza "Papa"...