Nijuavyo mimi, katika nchi hii wapo watu ambao huabudu siku za Ijumaa, wengine Jumamosi na wengine Jumapili.
Ukifuatilia mikutano mingi ya kisiasa utagundua wanaopewa kipaumbele ni Wanaoswali siku ya Ijumaa na wanaosali siku ya Jumapili. Wanaosali jumamosi nimewahi kuona kama mara 2 hivi...
Aisee nilikuwa sipo sahihi, nilidhani viongozi wanapenda nchi yao Hadi nikawa inspired, toka nipo msingi shule tunaitwa na walimu tushiriki shughuli za viongozi, mama anawaandalia mihogo asubuhi nyumbani muende uwanjani kushiriki.
Nilichogundua kumbe wakubwa wanalipwa posho kubwa sana kushiriki...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima?
Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.