Nijuavyo mimi, katika nchi hii wapo watu ambao huabudu siku za Ijumaa, wengine Jumamosi na wengine Jumapili.
Ukifuatilia mikutano mingi ya kisiasa utagundua wanaopewa kipaumbele ni Wanaoswali siku ya Ijumaa na wanaosali siku ya Jumapili. Wanaosali jumamosi nimewahi kuona kama mara 2 hivi...