Kwa miaka mingi nimejihusisha na siasa za TANZANIA nawala sijaona mafanikio yoyote Wala mabadiliko yoyote zaidi ni mauaji ya Kina Hamza na mengine mengi. Nimegundua Wanasiasa wa Tanzania wengi Ni mabogazi wako kimaslahi zaidi. DJ. DON NALIMISON nimeamua kukaa Kando Maisha yangu yote, sitajiunga...
Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma Mhe Florence George Samizi Jana Jumamosi Agosti 28, 2021 alishiriki kama Mgeni rasmi kwenye sherehe ya Jubilee ya miaka 25 ya shule ya wasichana ya Bonoconsili Mabamba.
Akiwa kwenye sherehe hiyo kama Mgeni rasmi Dkt. Samizi alizawadiwa na Askofu wa Jimbo la...
Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison ametetea mkakati wa taifa hilo wa kuzifunga shughuli za kawaida kama sehemu ya juhudi za kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona hadi angalau asilimia 70 ya watu wa nchi hiyo watakapopata chanjo ya virusi hivyo.
Akizungumza kwenye mahojiano na shirika la...
Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki
Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
Tanzania siku hizi ni kawaida kuona au kusikia watu wakiingilia shughuli za Mahakama. Hii inatokana na watu kutojua sheria au Mahakama yenyewe inaruhusu kuingiliwa?
Nawasilisha.
Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame Consolidated Services LTD.
Pia aliasisi shughuli za upambaji wa kumbi za starehe, mikutano etc.
Huyu...
Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika.
Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea boti zao.
Sasa inabidi kutumia njia mbadala za nishati kama jua,umeme au gesi asilia kuendeshea...
NGUVU YA BAADHI YA MAMBO KATIKA SHUGHULI ZA KIUCHUMI
Nitaeleza ni nguvu gani iliyo ndani Ya baadhi ya mambo kwa wewe unaesoma nakala hii ambayo unaweza kuitumia katika Nyanja ya uchumi na ukaleta mabadiliko yako binafsi na jamii kwa ujumla ,sanasana nalenga vijana maana wao ndo wenye...
Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Rais wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine. Kwa dakika tatu hizo ungemweleza nini?
Bila shaka umepata jibu. Hii inaonesha kuwa kila mtu ana...
Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Raisi wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine. Kwa dakika tatu hizo ungemweleza nini?
Bila shaka umepata jibu. Hii inaonesha kuwa kila mtu ana...
Ndio tatizo la kuwa na serikali ambayo iko so disorganized, kila Mtu anaongea lake, tumejenga nyumba za kujifukiza, tukaharibu na mimea lakini vyote vimeachwa.
Leo hii Wizara imetoa tamko la kuzuia mikusanyiko na kuchukua tahadhari dhidi ya Covid 19 ila cha kushangaza Shughuli za mwenge...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji dhahabu katika mtambo wa Double F katika kijiji cha Nyakisya, wilayani Tarime kutokana na uchafuzi wa mazingira.
Alitoa agizo hilo jana mkoani Mara baada ya kupokea malalamiko ya...
Habari Wanabodi!
Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
Chombo cha “Shenzhou” No.12 cha China hivi karibuni kilifanikiwa kuwapeleka wanaanga watatu kwenye anga ya juu. Baada ya kuunganisha chombo hicho na behewa la Tianhe lililorushwa angani mapema, wanaanga hao waliingia kwenye behewa hilo. Hii ni mara ya kwanza kwa Wachina kuingia kwenye kituo cha...
Nimekuwa naona mara nyingi kunapokuwa na ziara ya rais wale viongozi wa dini wanaokaribishwa kufungua shughuli kwa sala/swala wanakuwa na vikaratasi wanakuwa wanavisoma, najua ntaambiwa eti ili wasikosee wakatamka visivyo, mara protokali n.k,
Hivi kwenye sala/swala kiongozi anaweza kuteleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.