Simba leo wameujaza uwanja ile Mbaya, wasanii wamepiga Shoo kibabe sana, Alikiba ndio kabisaaa.
Hii imeonyesha maana halisi ya Tamasha kubwa la Simba Day. Lakini wakati yote yakiendelea kutokana na namna Simba walivyojaa Kwa mkapa, kwa namna walivyo na shauku ya Mnyama kufanya makubwa katika...