shujaa

The Kenya national rugby sevens team competes in the World Rugby Sevens Series, Rugby World Cup Sevens and the Commonwealth Games. They are currently one of the 15 "core teams" of the World Series, with a guaranteed place in all 10 events each season. Kenya recorded its first tournament win in the World Rugby Sevens Series after beating Fiji at the 2016 Singapore Sevens.
Kenya has also been successful in the Rugby World Cup Sevens, reaching the semifinals in 2009 and again in 2013.The Kenya Sevens team is sometimes referred to by the Kenyan and international press as Shujaa, a Swahili word meaning courage, confidence, bravery, or heroism. The Kenya national rugby sevens team is one of the more successful sporting teams representing Kenya. They have won the men's Team of the Year category six times at the Kenyan Sports Personality of the Year Awards: 2004, 2007, 2008, 2009, 2013, and 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyenyere

    South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  2. MakinikiA

    Zawadi aliyopewa Majaliwa (Shujaa) inaakisi alichofanya? Je, inahamasisha sisi wengine kufanya alichofanya?

    Salama wandugu, Mimi nimefikiria kuhusu hii Tanzania nabaki nasikitika tu,niannze na watu walionusurika najua huko mliko mnafanya ibada za kushukuru, na wengine mnakata keki.Nawaomba kwa uwingi wenu changeni pesa ya kupata nyumba au boti la uvuvi mpeni huyu kijana aliyewaokoa he unajisikiaje...
  3. The Burning Spear

    Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

    Kama kuna watu wanamdaganya eti ooh wewe ni kioo cha jamii mara pasta Huo ni uboya. Mtu yeyote anayejielewa hawezi kukubali upuuzi uliofanywa na Monica. Kuendelea kuishi naye ni kujitakia maumivu ya moyo maisha yake yote. Let it go. Waafrica tudanganyana Sana eti ndoa za maisha, Bill gate...
  4. J

    Shujaa Magufuli hayupo lakini Zitto analialia, Ruge analialia na Mbatia analialia. Mtanikumbuka!

    Enzi za Shujaa Magufuli kila jambo alisukumiziwa yeye lakini yeye alikaa kimya tu akiendelea kuchapa Kazi. Aliwahi kusema Neno moja tu " Nimejitoa sadaka kwa ajili yenu" Mungu wa mbinguni amrehemu Maguful!
  5. Curtis De Mi Amor

    Nalazimika kuwa adui wa rafiki wa rafiki yangu

    Iko hivi, nina mshkaji wangu peace sana tunaelewana mtu wa kazi kazi. Nayeye ana mshkaji wake sasa ilitokea wakagombana kisa mikopo maana mwana alienda kopa na mwana ndio alimdhamini. Sasa kwenye marejesho mwana kala chocho, hivyo msala ikabidi mshkaji ausolve ukaisha. Ghafla mwamba huyu hapa...
  6. Rupia Marko D

    SoC02 Kutoka si kitu hadi kuwa shujaa wa kijiji

    Jina lake anaitwa Jonathan, mtu mashuhuru ambaye kila jina lake likitajwa vichwani mwa kijiji cha Umoja kilichopo katika nchi ya Kusadikika hubaki na fikra zilizotukuka juu ya mtu huyu. Mambo makubwa aliyo yafanya katika kijiji chake ili hali tu akiwa bado ni Kijana mdogo tu katika...
  7. M

    Waafrika tulipotoshwa kuhusu Chifu Mangungo wa Msovero sio mjinga, Watanzania tuiombe familia yake msamaha na tumuenzi kama shujaa wa uwekezaji

    Chifu mangungo hakuwa mjinga, watanzania tulipotoshwa, tunapaswa kuiomba familia yake msamaha Kwa miaka mingi sana chifu mangungo ameendelea kuonekana kama mfano wa kiongozi mjinga hasa pale linapotokea swala la mikataba. Lakini je Mangungo alikuwa mjinga kweli? Chifu mangungo ni nani...
  8. J

    RC Kafulila: Rais Samia ni shujaa mpya wa Afrika anayechomoza kwa kasi ya ajabu

    Akiwa katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, Rc Kafulila ameifananisha kasi ya maendeleo inayopigwa na Rais Samia inafanana kabisa na ile ya mashujaa wetu, " Kumbukumbu ya Mashujaa inatukumbusha historia yetu, inatukumbusha historia ya wazee wetu na mchango wao wa damu kumkabili mkoloni...
  9. Kijakazi

    Vita Kuu ya Wazungu, Mtanzania ni shujaa kivipi na kwa nani?

    Hivi Mtanzania aliyetumiwa na Mzungu kupigana Vita Kuu ya Wazungu/Dunia anaitwa shujaa kwa lipi haswa? Ni shujaa kwa nani? Alimpigania nani vita hadi tumuite shujaa? Miaka hiyo Tanzania ilikuwa ni Koloni na walioenda vitani walikwenda kupigania na kutetea English Empire, sasa huo ushujaa...
  10. 6 Pack

    Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  11. Nafaka

    Je, Julian Assange ni Shujaa au Msaliti?

    Wakati wa masika miaka 10 iliopita, mwanaume mmoja mwenye miaka 41 kwa jina la Julian Assange akiwa amevalia mavazi ya wafanyakazi wa kusafirisha vifurushi kwa pikipiki, huku akiwa nywele zake kazipaka rangi, kapachika lenzi za kubadili rangi ya mboni za macho, na kuweka kipande cha jiwe kwenye...
  12. Corticopontine

    Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

    Welcome back hero. Uliipigania nchi yako, ulisimama kizalendo kudeal na wauza madawa ya kulevya, waiba magari ya watanzania na kuyapeleka kwa jirani, wahujumu uchumi na wakwepa kodi. Uliipigania nchi yako ili mapato ya serikali yako yaongezeke Taifa lako litekeleze miradi yake kwa fedha za...
  13. E

    Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

    Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi. Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza. Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
  14. Nyankurungu2020

    Augustine Mrema ni shujaa wa taifa asiyependa ufisadi kama ilivyokuwa kwa rafiki yake hayati Magufuli

    Ufisida ni janga la taifa letu na ni viongozi wachache ambao hujitoa kupinga ufisadi kwa moyo wa dhati. Lyatonga Mrema alipinga ufisadi kwa maisha yake yote akiwa mtumishi wa umma mpaka sasa akiwa mzee. Nakumbuka kupewa stori na wazee wa Wanaomfahamu Mrema kupambana na walanguzi na maadui wa...
  15. B

    Jarida la Inside the Nation lamtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais aliyefanikiwa kuifungua nchi zaidi Kidiplomasia na Kiuchumi na kufanikiwa kuokoa fedha nyingi sana...
  16. May Day

    Wanajeshi humuenzi Shujaa wao aliyetangulia kwa kuongeza bidii vitani, Ruvu mmetuangusha

    Nimesikia visigizio kwamba Ruvu walikuwa wanaomboleza ndio maana wameshindwa kuhimili vishindo vya Simba aliyejeruhiwa. Tumtakie Mwedazake pumziko la Amani, ila niwatake Ruvu wakubali tu walizidiwa na ubora wa Simba kwani walihitaji ushindi wa kumsindikiza Shujaa/Mpiganaji wao. Mkubali tu...
  17. John Haramba

    Binti wa miaka 10, shujaa alivyookoa watu zaidi ya 100 kutosombwa na mafuriko ya Tsunami

    Tilly Smith akiwa na umri wa miaka 10, kwenye mapumziko katika Ufukwe wa Maikhao nchini Thailand mwaka 2004, aliona kuna kitu hakipo sawa ufukweni hapo. Ilikuwa zimepita wiki mbili tu tangu aliposoma katika somo la Geography kuhusu Tsunami nchini kwao England, hivyo kwa kukumbuka kile...
  18. P

    Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko

    Job Ndugai ajengewe sanamu ni shujaa ile hotuba ni kiboko. Nilichogundua kwenye ile hotuba ni kwamba Ndugai alikuwa amejiandaa kwamba liwalo na liwe. Alikuwa ameamua kutoa yake ya moyoni. Amezungumza ukweli, na umemweka huru.
Back
Top Bottom