shule bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kama bado unapenda kuendelea kupigwa hela kwenye shule za EMs , usiwafokee wazazi wanao warudisha watoto Kayumba Kwa sababu wenzako wameshajielewa

    Kasi ya wazazi kuwatoa watoto Wao shule za EMs kuwarejesha Kayumba inazidi kuongezeka kila siku. Huko mtaani ni balaa mamia Kwa maelfu ya wazazi wanawatoa watoto Wao shule za EMs na kuwarudisha Kayumba. Tayari wamesha jielewa. Tayari wamesha jua walifanya makosa. Na hawataki kufanya makosa...
  2. Naomba kujua shule bora ya Serikali kwa CBG iliyopo Mwanza

    Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa wa Mwanza? Asanteni.
  3. Miaka minne tu, shule inakuwa bora na Wanafunzi wengi

    Habari wakuu, Wakuu Mimi ni Kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23 hivi sasa, pia mwanafunzi wa moja ya Chuo kikuu hapa jijini na chukua shahada ya kwanza ualimu sayansi yaani bachelor of science with education mwaka wa tatu. Wakuu lengo, la kuandika Uzi huu ni kuwa Nina project...
  4. M

    Ipi ni Shule Bora ya girls advance mkoa wa Dodoma

    Viongozi naombeni mnisaidie kujuwa Shule ipi ya girls ni Bora kweny ufaulu ya advance combination HGE au HGL. Location Dodoma:
  5. D

    Natafuta shule bora za High school (ada chini ya 2 Milioni)

    Wakuu habari zenu, Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million. Asanteni sana wakuu
  6. Angalia hapa Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2023

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana. Akitangaza matokeo hayo leo Julai 12, 2023 katika ofisi za Baraza hilo Zanzibar, Katibu Mtendaji wa Necta Dk Said...
  7. Ina maana gani kumsomesha mtoto kwa mamilioni ya fedha halafu anapangiwa Shule za kawaida?

    Ina tija gani? Halafu ili iwe nini? Na kwanini? Yaani nasomesha mtoto FEZA, GREEN ACRES, ST. MARYS SCHOOLS au MARIAN SCHOOLS halafu selection mnampeleka NKASI, CHUNYA, NAMTUMBO au SONGEA? Hivi hizi selection ziko fair kweli!? Kwanini selection ziendelee kuwa harassment kwa vijana na wazazi...
  8. Usumbufu wa kumtafutia mwanao Mitandaoni shule bora sasa umekwisha

    Kutokana na usumbufu uliokuwepo wa kutafuta shule nzuri kwa ajili ya mwanao. Kama mzazi au mwanafunzi ulikuwa na ndoto za kupata shule nzuri. Iwe ni shule ya private au government au ulikuwa ukijiuliza nichague shule gani iliyo na ufaulu mzuri kimkoa au kitaifa kwa ujumla. Tatizo hili kwa sasa...
  9. Prof. Mkenda: Tunaangalia namna mpya ya kutathimini shule bora nchini

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2 RATIBA YA LEO Dua Hati za kuwasilisha mezani Taarifa za kamati Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira MWONGOZO Kuhusu uamzi wa NECTA kutokutangaza orodha ya Shule 10...
  10. L

    NECTA yatangaza Matokeo Kidato cha Nne 2022

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja...
  11. NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha 6 mwaka 2022

    Watahiniwa 93,136 (98.97%) wamefaulu Mitihani yao, ikielezwa Wasichana ni 40,907 na Wavulana ni 52,229. Aidha, Baraza la Mitihani (NECTA) limesema jumla ya Watahiniwa 83,877 (99.24%) wamefaulu katika Daraja 1 hadi 3 Ufaulu katika Masomo ya Historia, Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Physics...
  12. NECTA yatangaza matokeo ya Kidato cha 6 - 2021. Ufaulu waongezeka kwa 0.19%

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu iliyofanyika Mei 2021. Ameeleza kuwa ufaulu wa wanafunzi umeongezeka kwa asilimia 0.11 ikilinganishwa na mwaka 2020. Dkt Msonde amesema hayo leo visiwani Zanzibar na...
  13. NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha nne na cha pili 2020

    NECTA wameandika matokeo ya Kidato cha nne na Upimaji wa kidato cha cha Pili na Darasa la Nne 2021, yatatangazwa hivi punde kaa tayari ndio mida hii. All the best Comrades, see you at the top. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form...
  14. Pata uchambuzi wa mtokeo ya Form Four ya 2019

    We have added 2019 results with analysis. Angalia ujue wanafunzi wangapi walipa A kwenye kiswahili mwaka 2019, au shule mbili zilifanyaje ukiliganisha Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St...
  15. Matokeo ya Kidato cha Sita kwa Mwaka 2019 yametangazwa rasmi leo

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) nchini Tanzania leo Alhamisi Julai 11, 2019 limetangaza matokeo ya kidato cha sita ya mwaka 2019 Katika matokeo hayo yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta mjini Unguja Zanzibar, Dk Charles Msonde amesema ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka...
  16. Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kesho Alhamisi Januari 24, 2019 litatangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018. UPDATE: Shule ya St. Francis ya Mbeya yaongoza kitaifa >>> Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limefuta matokeo ya wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya...
  17. Matokeo ya mtihani wa kidato cha pili 2018(ftna 2018 results ) haya hapa

    Matokeo ya mtihani wa kidato chat pili 2018 yametoka. Gusa link hapo chini kuya fungua. Shule zote ziko hapo https://www.tanzania.go.tz/FTNA-2018/index.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea...
  18. Maajabu matokeo ya kidato cha sita 2018

    Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa katika orodha ya shule 10 za mwisho. Jingine katika matokeo hayo ni Shule ya Sekondari Kibaha kupanda...
  19. NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    Matokeo ya Kidato cha Nne (CSEE) na maarifa (QT) 2O17 Yametangazwa na Baraza la Mtihani la Taifa NECTA. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza! KUONA MATOKEO LINK 1: BOFYA HAPA LINK 2: BOFYA HAPA...
  20. NECTA yatangaza matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili, 2017, 51,807 wakwama kuendelea kidato cha 3

    Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifanya vyema katika mitihani hiyo. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatatu Januari 8, Katibu Mtendaji wa Necta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…