shule bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matokeo ya kidato cha sita 2017/2018

    Link hi hapa http://www.tamisemi.go.tz/noticeboard/tangazo-1070-20170715-Matokeo-ya-Kumaliza-Kidato-cha-Sita-na-Ualimu-2017/ACSEE2017/indexfiles/index_a.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016 Matokeo Kidato cha Sita 2009
  2. Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    MATOKEO KIDATO CHA 4 Baraza la Mitihani nchini(NECTA) latangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2016. Wavulana wafaulu kwa 73.26% na Wasichana 67%. - Feza, St. Francis na Kaizerege zaendelea kutamba kileleni, Dar yaburuza mkia. Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016...
  3. Baraza la Mitihani latangaza Matokeo ya Kidato Cha Sita 2016

    Baraza la mitihani Tanzania NECTA limetangaza matokeo ya kidato cha Sita mwaka huu wa 2016 na wanaume wameongoza kwa wingi katika kumi bora, katibu mtendaji wa NECTA bado anaendelea kuongea mnaweza ona matokeo kwa website yao na ya TAMISEMI, Ufaulu umeshuka kwa asilimia 0.93 ikilinganishwa na...
  4. Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza Matokeo ya Kidato cha Nne 2015

    Baraza la mitihani nchini(NECTA) leo Februari 18, 2016 limetoa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2015. Ufaulu umeshuka kwa 1.85% toka 69.75% mwaka 2014 hadi 67.91% mwaka 2015. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo Kidato cha Nne 2014...
  5. Matokeo ya Kidato cha Pili 2016

    Habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa kidato cha pili niliemaliza mwaka jana. Matokeo yangu yamesema nimefaulu kwa wastani wa B (merit) huku nikipata B+ kwenye BIOLOGY, CHEMISTRY na ENGLISH. Je mnaonaje matokeo yangu Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa...
  6. NECTA yatangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2015

    NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha Pili kwa wanafunzi waliofanya mtihani mwaka jana, ambapo Wanafunzi 324,068 sawa na asilimia 89% ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2015, wamefaulu mtihani huo. Ufaulu umeshuka kwa masomo ya Uraia, Historia, Jiografia...
  7. Matokeo ya Kidato cha Sita 2015 yametangazwa

    Matokeo ya Kidato cha Sita yametangazwa mtandaoni rasmi na Baraza la Mitihani nchini almaarufu kama NECTA. Kuyaona matokeo hayo ingia hapa:NECTA | View News http://necta.go.tz/matokeo/2015/Alevel.htm Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014 Matokeo...
  8. Matokeo Kidato cha Nne 2014 yametoka: Sekondari ya Kaizirege yaongoza

    Kupata Matokeo Haya, Bofya hapa Jiridhishe kwa kutembelea NECTA Siku hizi hakuna Divisions, na tafsiri ya GPA ni hii hapa kwenye jedwali, Distinction ndio kama Division I ukipenda. http://www.necta.go.tz/files/utaratibu_wa_kutunuku.pdf Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008...
  9. Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014

    Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2014 http://necta.go.tz/matokeo2015/ Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha pili hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia. National form II Results 2009 aibu
  10. Wavulana wapeta matokeo kidato cha Sita, 2014

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha Sita yaliyofanyika Mei, 2014 mwaka huu, ambapo limesema ufaulu umeongezeka kwa jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 ambao wamefaulu katika madaraja ya I- III. Akitangaza matokeo hayo leo Jumatano Julai...
  11. Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

    Muda huu makao makuu ya necta matokeo yanatangazwa UFAULU WAPANDA KIDATO CHA IV 2013. Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013. Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili...
  12. NECTA yatangaza Matokeo Kidacho cha Sita (ACSEE 2013)

    Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa. Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu. Shule zilizoongoza ni 1. Marian Girls 2. Mzumbe Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka Matokeo Kidato cha Sita 2009 ========================= Updates...
  13. Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    Wakuu, NECTA wametangaza matokeo tayari. Kuyapata matokeo (kama yalivyotangazwa tarehe 18/02/2013), tembelea: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 - (Hosted by JamiiForums) Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya kidato cha nne 2011 QT Results 2012 -...
  14. M

    Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    1.0UTANGULIZI Mtihani wa Taifa wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ulifanyika nchini kote kuanzia tarehe 05/11/2012 na kumalizika tarehe 16/11/2012. Mwaka 2012 kulikuwa na jumla ya vituo 4,304 vilivyosajili watahiniwa, ikiwa ni ongezeko la vituo 117(2.79 %) ikilinganishwa na ile ya mwaka...
  15. Matokeo ya Kidato cha Pili 2012, Shule zakosa wanafunzi wa kidato cha tatu 2013

    Kuna taarifa kutoka kwa wasahihishaji wa mtihani wa kidato cha pili wa mwaka 2012 kuwa HALI NI MBAYA SANA na kuna shule huenda zikakosa kabisa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha tatu kwa mwaka 2013! Taarifa zinaeleza kuwa wakati wastani wa kufaulu ni Alama 30, shule kwa Kanda ya Kusini-Lindi...
  16. Matokeo kidato cha sita 2012 yametoka

    Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka. Soma Pia matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka Matokeo Kidato cha Sita 2009 HAYA HAPA: http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm au...
  17. Matokeo ya kidato cha nne 2011

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2011. Matokeo ya kidato cha nne 2011 yametoka RESULT MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2011 ~ Hassbaby's (Mapacha) Check hapo. Soma Pia Matokeo ya miaka mingine kuanzia 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya...
  18. Matokeo ya Kidato cha pili-2011

    Inaonekana mpaka sasa, swala la form2 kuvuka kidato cha 3 kwa wastani ni kiini macho. Serikali inatakiwa kuwa makini, elimu ya Tanzania inashuka kiwango kwa kuwa na watu ambao taaluma yao haina viwango. Tunahitaji wataalamu makini. Mungu ibariki Tanzania. Soma Pia: National form II Results 2009...
  19. Matokeo ya kidato cha nne hewani - 2010

    Gonga hapa kupata matokeo ya Kidao cha Nne - 2010 au Hapa SHULE ZA SERIKALI ZAGARAGAZWA TENA, SEMINARI JUU na Betty Kangonga Soma Pia Matokeo ya mengine kuanzia mwaka 2008 Matokeo ya form four 2008 Matokeo ya kidato cha nne hewani - 2010 JUMLA ya watahiniwa...
  20. Matokeo kidato cha nne 2009

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato Nne mwaka 2009. kusoma matokeo yote Link ipo hapa chini. TEMBELEA: LINK HII UKAONE MATOKEO YOTE http://www.moe.go.tz/NectaResults/olevel.htm Ufaulu wapungua. Soma Pia: Matokeo ya form four 2008 Mzimu wa somo la Hisabati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…