Kilio cha muda mrefu cha Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Longido cha kutokuwa na bwalo la kisasa kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuahidi kutoa zaidi ya Shilingi Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa bwalo jipya litakalokidhi mahitaji ya wanafunzi zaidi ya 3,000 wa shule hiyo.
Ahadi hiyo...