Mdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika.
Wakati anatokewa na kadhia hiyo alikuwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande...
Anonymous
Thread
child rights
mtoto alawitiwa
shuleyamsingikiponza
ukatili wa watoto