Idadi ya watoto wanaokosa elimu yoyote imeongezeka kwa milioni sita, na kufikisha jumla ya watoto milioni 250, kulingana na takwimu mpya zilizotolewa Jumatatu na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO).
Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linatokana na kutengwa kwa wingi...