siasa kwenye michezo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kwa kujifungamanisha na wadhalimu, siioni ikifanya vizuri tena

    Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki. Yanga, kwa kujifungamanisha na wadhalimu, haitafanikiwa. Narudia tena, Oktoba 25 haitatoboa. Mwaka huu ni mwaka wa mwenye haki.
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Walalamika Yanga kuimba " Tuna Imani na Samia" yasema ni Kinyume cha Sheria za FIFA

    Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za FIFA zinakataza kufungamanisha Siasa na Mpira My take; Dar Young Africans ni CCM 😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…