Yanga kwa kujifungamanisha na wadhalimu, siioni ikifanya vizuri tena

Superhuman 1995

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
1,909
Reaction score
3,210
Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki.

Yanga, kwa kujifungamanisha na wadhalimu, haitafanikiwa.

Narudia tena, Oktoba 25 haitatoboa.

Mwaka huu ni mwaka wa mwenye haki.
 
Yanga kuna namna wameshindwa kusoma alama za nyakati, wakati ambao pana mwamko mkubwa wa kisiasa wao walipaswa kujiweka mbali na mambo ya siasa lakini wakawa wa kwanza kutoa michango.

Kitengo cha digital kuna namna kimekua epicenter ya uchawa na kujikomba kwa watawala yaan juzi kati msemaji wa Gavo katoa kauli ya hovyo kuhus utekaji Yanga wao wanampost tena.
 
Wanasahau mwaka huu ni tofauti kabisa
,ngoja waone yeyote atakayefungamana na dhuluma kama atatoboa mwaka huu
 
Yanga imelaanika. Timu inayojionesha wazi kabisa kuwa inafurahia watanzania kutekwa na kuuawa, mwanadamu upendaye haki, unayejua thamani ya uhai wa mwanadamu mwenzake, atajifungamanishaje na timu kama hiyo? Yanga ibakie tu kuwa sehemu ya kundi la wadhulumaji haki za wanadamu, sawa na wale greenguards watekaji na wauaji.
 
Haya maneno yanauma Sana kwetu mashabiki
 
Mtu yeyote anayoshirikiana na dhalimu hawezi kufanikiwa. Lilikuwa kosa kubwa sana la kimkakati katika ulimwengu wa haki. Mwaka huu ni mwaka wa neema kwa wenye haki.

Yanga, kwa kujifungamanisha na wadhalimu, haitafanikiwa.

Narudia tena, Oktoba 25 haitatoboa.

Mwaka huu ni mwaka wa mwenye haki.
Kuna uhusiano gani? Team mbovu tu
 
Back
Top Bottom