siasa ni maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa na uwezo wa kuisafisha Tanzania kwa serikali hii batili fungu lipo watakulipa mpaka uchoke

    Jinsi walivyo chafukwa kila kona kila pembe. Wapo kwa lolote kumlipa hata katibu wa UN au watu wakubwa waoneshe dunia kuwa kulikuwa hakuna mauwaji wa utekaji na uhuru hupo tele. Kwa sasa watu wanapiga pesa watakavyo wale wa kutrend,wasanii,vyombo vya habari,viongozi na n.k Yani mpaka ma IT...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu CHAKAMWATA: Siasa inatuhusu sote kwa sababu siasa ni maisha

    Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), Mwalimu Meshack Kapange, amesema kuna baadhi ya wanasiasa hawajui hata maana ya siasa. Katibu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Mbeya. Mwalimu Meshack ameeleza kuwa kuna wasiasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…