PreGE2025 Katibu CHAKAMWATA: Siasa inatuhusu sote kwa sababu siasa ni maisha

PreGE2025 Katibu CHAKAMWATA: Siasa inatuhusu sote kwa sababu siasa ni maisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), Mwalimu Meshack Kapange, amesema kuna baadhi ya wanasiasa hawajui hata maana ya siasa. Katibu ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Mbeya.

Mwalimu Meshack ameeleza kuwa kuna wasiasa wanaosema watu fulani ambao siyo wanasiasa wanafanya siasa, wanakosea kwani siasa ni maisha, amehoji kwani mtu akiongelea kilimo ni lazima awe mkulima, mtu akiongelea uvuvi ni lazima awe mvuvi?

"Kwanini ukuzungumza agenda kuhusu siasa unaambiwa umekuwa mwanasiasa, politics is life baba kwa sababu ni maisha hayo. Lakini ukizungumza siyo kwamba umekuwa mwanasiasa" - Mwalimu Meshack Kapange, Katibu mkuu CHAKAMWATA.
 
Back
Top Bottom