siasa tanzania

Jason K. Stearns (born October 31, 1976) is an American writer who worked for ten years in the Congo, including three years during the Second Congo War. He first traveled to the Congo in 2001 to work for a local human rights organization, Héritiers de la Justice, in Bukavu. He went on to work for the United Nations peacekeeping mission (MONUC). In 2008 Stearns was named by the UN Secretary General to lead a special UN investigation into the violence in the country.
Stearns is the author of the book, Dancing in the Glory of Monsters: The Collapse of the Congo and the Great War of Africa, and the blog, Congo Siasa. He received a Ph.D. in political science from Yale University on May 24, 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. w0rM

    Ugonjwa wa ‘Phobia Attack’ ambao huenda ulimkumba Naibu Waziri mteule wa Madini , Francis Ndulane na kupelekea kushindwa kuapa

    Mheshimiwa kwa namna ya kipekee nikupongeze kwa uteuzi bora kabisa wa Mawaziri na Manaibu Waziri wapya ambao ni vijana wasomi ambao kwa jicho la tatu watakusaidia sana katika kujenga Taifa hususan kusukuma mbele gurudumu la Maendeleo. Mheshimiwa Rais leo nimeshuhudia moja Kati ya wateule wako...
  2. Pascal Mayalla

    Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Wanabodi, JF ni ukumbi huru wa kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, na kitu kikubwa zaidi, kusaidiana. Kama kuna kitu unakijua, na unaona kinafanyika ndivyo sivyo, unajitolea kusaidia kuwaelimisha wengine kuhusu kitu hicho, na hiki ndicho mimi ninachofanya humu JF, kuwaelimisha wengine...
  3. K

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Kumekuwepo na vijembe na lugha za kejeli zinazotolewa na baadhi ya viongozi kutuhumu awamu zilizopita hasa awamu ya tano kana kwamba wao waliiba na hakuna maendeleo waliyoyafanya. Orodha ni ndefu mimi nayakumbuka haya. 1. Daraja la Kigamboni 2. Daraja La Kilombero 3. Daraja la Umoja 4. Daraja...
  4. Return Of Undertaker

    Dkt. Bashiru: Aliye na dola ndiye ananufaika nayo kubaki madarakani, hata CHADEMA ikiingia madarakani ikaondolewa kwenye dola ni uzembe wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020. HOTUBA KWA UFUPI CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
  5. Fahami Matsawili

    Rais Magufuli ameamua nchi ifungue sura mpya ya kimaendeleo kuelekea 2025

    Rais wetu John pombe Magufuli ameamua Nchi iende Mbele... hii ndio kusema Chagua Magufuli Kazi iendelee 1. Ujenzi wa barabara Nchi Nzima kwa gharama Sh. Trilioni 5.3 ili kurahisisha usafiri wa watu na mizigo ya biashara kutoka sehemu moja kwenda nyingine..... 2. Ununuzi Ndege Mpya Sh...
  6. eden kimario

    Kumbukumbu ambayo ccm na spika wao wanaikana na hawaijui: Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana

    Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana 07 Septemba 2017 Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania. Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
  7. H

    Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

    Desemba 17, 2017 Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM). Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu...
  8. Francis12

    Kadi za kieletroniki za uanachama kuipa CHADEMA Tsh. Bilioni 13 kwa mwaka

    Morogoro. Chadema imetangaza kuwa Januari itaanza kutumia kadi mpya za uanachama za kielektroniki, zitakazoiwezesha kukusanya Sh13.9 bilioni kwa mwaka na kupunguza utegemezi wa ruzuku ya Serikali. Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa ndani...
  9. M

    Mdahalo wa Wagombea Urais Zanzibar: Septemba 20, 2015 #Mkikimkiki

    Shiriki kwa kutuma swali lako hapa JamiiForums kwa ajili ya kuwatumia viongozi watakao shiriki mdahalo hapo kesho Tarehe 20, September 2015. Mkikimkiki‬ iko Zanzibar wiki hii na wamealika wagombea urais wa vyama vitano ambavyo ni CCM, CUF, ADC, CHAUMMA na ACT-Wazalendo Kushiriki ni...
  10. E

    Nape: CCM itashinda tu uchaguzi mkuu ujao hata kwa goli la mkono

    Habari Jf.. Nape Nnauye Juzi akiwa Mkoani Kanda ya Ziwa aliwaambia CCM Ushindi ni Lazima hata kwa Goli la Mkono ili mradi tu Referee apulize Kipenga. "Goli ni Goli tu Hata Kama ni la Kuotea" Hapa Swali la Kujiuliza Je Referee wa Mechi ya CCM na UKAWA atatuvusha Salama?, Kwa Maana Team zote...
  11. CHAI CHUNGU

    Mbowe: CCM ikisalimika 2015 najiuzulu siasa

    MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema moto uliowashwa na chama hicho katika Operesheni Sangara utaendelea nchi nzima, lengo likiwa ni kuiondoa CCM madarakani na iwapo itasalimika mwaka 2015, atajiuzulu siasa. Mbowe alitoa kauli hiyo juzi alipohutubia mamia ya wakazi wa Wilaya ya Masasi...
  12. mwankuga

    Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    Wakati Watanzania wengi wanasubiri kwa hamu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 20111/2012, hali ya maisha inazidi kupanda. Hapa Dodoma wananchi wa kawaida wanaendelea kutafuta riziki zao, huku wengi wao wakiwa hawategemei jipya katika bajeti hiyo. Wananchi wengi wanasema bajeti haiwasadii...
Back
Top Bottom