Mkoa wa Kusini Unguja ni mmoja kati ta mikoa 31 ya Tanzania ambao unapatikana Kusini mwa kisiwa cha Unguja huko Visiwani Zanzibar.
Kulingana na Sensa ya mwaka 2022, mkoa huu amba una jumla ya wakazi 195,873 kati ya hao wanaume ni 98,367 na wanawake ni 130,506 huku kaya zikiwa takriban 47,010...