siasa za chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Hivi CHADEMA zaidi ya kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, inaweza kufanya nini cha maana zaidi?

    Pamoja na kujitenga, kuandamana na kususia michakato ya kidemokrasia, CHADEMA haijawahi kufanikiwa kubadili hali au uelekeo wa siasa za Tanzania, walau hata kuchochea mabadiliko yoyote yenye tija au ya maana kisheria au kisiasa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote ispokua binafsi ya viongozi...
  2. Superbug

    Namuona Lissu kama Nabii/Mtume namimi kama mfuasi wake

    Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
  3. Yesu Anakuja

    Ushauri kwa CHADEMA kuhusu siasa mtandaoni

    Niende moja kwa moja, nawashauri chadema mkitaka kufanikiwa, wekezeni sana kwenye mitandao ya kijamii, ajirini watu kabisa ikiwezekana. 1. Israel na Hamas vita yao kubwa ilikuwa ardhini, lakini vita kbuwa zaidi ilikuwa mitandaoni. waliajiri watu kabisa ambao akiamka asubuhi hadi jioni anaenda...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

    Wakuu Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff, sasa maandalizi ya Mkutano huo Mkubwa wa chama hicho yanaendelea Makao Makuu, Mikocheni...
  5. L

    SI KWELI Boniface Jacob aamua kujiweka pembeni ya Siasa za CHADEMA na kuhamia kwenye ufugaji wa kuku

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza kusema ya kuwa Mheshimiwa Boniface Jacob ameamua kujiweka pembeni ya ulingo na masuala mazima ya siasa za CHADEMA na kuamua kujikita kwenye shughuli zake binafsi za kijasiriamali. Ambapo Mheshimiwa Jacob ambaye ni Mayor wa zamani wa Ubungo ameonekana akiwa...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

    Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya. Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
  7. R

    Kwa vita iliyopigwa na Lisu dhidi ya Mbowe, Mbowe kaa kando na jitenge ila usihame chama

    Why am I saying so? 1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu. 2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all...
  8. M

    Mdude analalamikia makundi CHADEMA

    Ukipost jambo lolote baya dhidi ya serikali hawa ndugu zetu ambao hawajakubali matokeo lazima wa-comment hivi ; " Andamaneni Dr. Slaa atoke, andamaneni mpate tume huru ya uchaguzi". Sasa hawa wenzetu wamejitoa upinzani na kuunga mkono juhudi? Halafu comments zao na post zao ujumbe unafanana...
  9. Etugrul Bey

    Uchaguzi Mwenyekiti CHADEMA ni aibu na Demokrasia kwa wakati mmoja

    Hii ni fundisho kwa viongozi wote kwamba Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na sauti ya umma si yenye kudharauliwa hata kidogo,ni wakati umefika sasa kwa viongozi wengine kujifunza haya yalitokea Chadema Jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya Television ya uchaguzi wa Chadema,nilivutiwa na...
  10. R

    Endapo Mbowe asingegombea CHADEMA kingepata ufuasi , uimara na imani iliyopo sasa kwenye jamii?Mjadala ungekuwepo?

    Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa? Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa hata baada ya kushindwa?
  11. G

    Hongera sana kwa ukomavu wa kidemokrasia wanachadema, najiunga rasmi kuwa mwanachama

    Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki. Kitendo hicho kilinikwaza sana nikaamua kubaki neutral coz niliona kama viongozi wa chama ni...
  12. Mindyou

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ajiondoa kwenye mchakato

    Wakuu, Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%
  13. S

    CHADEMA chama cha mapepari wenye pesa chageuka cha wasio na pesa baada ya ushindi wa Lissu

    CHADEMA ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha...
  14. P

    Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA

    === CHADEMA kwisha habari yake, Poleni sana wanachadema, Sisi Wananchi hatuwezi kuishi kwenye tawi la CCM bora tuende kwenye mti wenyewe.
  15. Etugrul Bey

    Kibonzo Cha Siasa Za Chadema

    Posted by Akim kutoka X Ni hayo tu!
  16. Cute Wife

    CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
  17. markp

    Freeman Mbowe haaminiki tena ndani ya CHADEMA

    Watu wengi tulimwamini sana Mbowe kama anaweza kuendesha chama na hana maslahi yanyoambatana na CCM lakini huu uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA umemprove wrong kuwa haaminiki. Hebu angalia woote walikubali Lissu agombee uraisi hii ikiwa na maana anaweza kuongoza nchi yetu vyema lakini jambo...
  18. L

    Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

    Uwa siandiki Mara nyingi Kumbukeni wananchi Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la...
  19. Gamba la Nyoka

    Siasa za CHADEMA: Lissu kugombea uenyekiti ni mtego kwake?

    Na : Twahir Kiobya (The Man) Ni rasmi sasa Lissu anautaka uenyekiti ndani ya CHADEMA. Ametangaza nia yake kupitia vyombo vya habari na umma umesikia. Azimio hili la Lissu ni uamuzi mzito na ni la kihistoria ktk chama cha CHADEMA. Kama Mwenyekiti wa sasa ndugu Freeman Mbowe atagombea uenyekiti...
  20. A

    Tatizo la Freeman Mbowe CHADEMA ni kupoteza Imani ya Wafuasi na Mashabiki wa CHADEMA Wala sio mapenzi ya wanachama au Viongozi wa CHADEMA

    CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10% Kitu pekee CHADEMA wanapashwa kukilinda ni Mashabiki Wala sio wanachama Kwakuwa Tanzania iko kishabiki zaidi ya Uanachama na...
Back
Top Bottom