Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu yeye ni mpinzani wa kweli.
Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia...
Wakuu,
Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya wasifuatilie nini kinataka kusemwa na mtu sahihi.
Mbinu ni hizi hizi hata kipindi cha uchaguzi, utakuta...
Hellow JF.
Kumekuwa na mfululizo wa matukio yanayoonesha mambo sio shwari CHADEMA.
Tukianza na kauli za makamu mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliwahi kusema CHADEMA kuna pesa chafu. Kwa bahati mbaya sana watanzania tunakasumba ya kupuuzia mambo na kuyachukulia poa poa mambo. Likaeenda...
Nampongeza sana kiongozi wa CHADEMA Freeman Mbowe kuonesha ukomavu wa kisiasa kuhimili misukosuko kila inapojitokeza amekuwa na utulivu sana mwenye hekima hasa kunapotokea chama kinapitia hali ngumu.
Wapo viongozi walihama lakini chama kilizidi kuimarika zaidi hata sasa nimejifunza zaidi...
Namkumbusha tu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kwamba akiwa Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA mwaka 2010 alilazimisha Mbowe awe Kiongozi wa Upinzani Bungeni bila Uchaguzi wakati Zitto Kabwe alishaomba hiyo Nafasi.
Sasa anapolalamika kwamba utaratibu wa CCM kumfanya Rais wa Jamuhuri ya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, atazungumza na Dunia kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika 14/08/2024 kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam.
Miongoni mwa watakaohudhuria mkutano huo ni Mabalozi kadhaa wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania...
Tukio la kamatakamta la CHADEMA limetikisa nchi na kumchafua mama. Watu wameingiwa na hofu kuhusu uchaguzi ujao, je tufanye nini sasa?
Polisi lazima waangalie upya utendaji wao, wafanye kazi kwa weredi vinginevyo kwa tabia ya watanzania wanachukizwa sana na upendeleo wa chama kimoja. Hii ni...
Soma Pia:
Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.
========================
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya...
Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha).
Maadhimisho hayo yalikuwa yafanyike leo Jumatatu, Agosti 12, 2024, lakini Jeshi la...
Yaani mguu nje, mguu ndani, wakati wowote mwenye nyumba anatoa notice ya mtu kutimuliwa pangoni na wakati wowote vile vile uzalendo unamshinda mpangaji anaondoka anahamia kwingineko.
Ni kirusi gani sijui kimewatembelea hawa majamaa huko kwe vyama vyao? kila uchwao miongoni mwao ni kutuhumiana...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini Tanzania(THRDC) umelaani vitendo vya kukamatwa kwa baadhi ya viongozi wa CHADEMA, akiwemo Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho bara, Tundu Lissu, Katibu Mkuu John Myika,Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi, Wakili Deogratias Mahinyila...
Kwa kutumia mifano na bila mihemko,
Elezea kauli hiyo kwa kifupi huku ukibainisha kinaga ubaga, sabababu chache za msingi za chama hicho kupoteza nguvu, mvuto, umaarufu, ushawishi na kuaminika kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla?
Soma Pia:
CHADEMA hii ni fursa nyingine ya Chama...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake kimeacha misingi yake.
Makalla ameeleza hayo Agosti 9, 2024 kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje CHADEMA John Mrema amesema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu hajasema anahama CHADEMA bali alitumia kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusisitiza siku CHADEMA ikiondoka kwenye misingi yake na Yeye ataondoka
Mrema amesema hata yeye hatakuwa na...
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini Kwa sasa, ni dhahiri kuwa CCM ishaanza rasmi kumnadi mgombea wake wa Urais wa mwakani, ambaye ni Samia Suluhu Hassan.
Tumeshuhudia katika ziara alizofanya majuzi kwa madai kuwa ni ziara za kiserikali katika mikoa ya Rukwa na Morogoro, ambapo ziara hizo bila...
Waingereza walisema what does not kill you, leaves you stronger. Tukio baya ambalo halikusababisia kifo, hukufanya kuwa imara kuliko hapo mwanzo.
CHADEMA kimepitia misukosuko mingi lakini chama hiki kimebaki kuwa imara zaidi kuliko siku za nyuma. Kuna kipindi miaka kama 8 hivi iliyopita chama...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 iko palepale.
Tundu Lissu ameyasema hayo leo, Julai 26, 2024 katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipowasili...
Wanajamvi, huyu Mwamba John Mnyika ambaye ni Katibu Mkuu wa CHADEMA amekuwa kimya sana hivi sasa!
Haonekani mara kwa mara kwenye mikutano ya chama mikoani akiwa na viongozi wengine, Je nini kimempata?
Hata wakati ule CHADEMA walivyotangaza maandamano katika mikoa tofauti hakuonekana sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.