Niccolò Machiavelli, mwanafalsafa wa karne ya 16, anafahamika kwa maoni yake kuhusu siasa na uongozi, yaliyoelezwa kwa kina katika kitabu chake maarufu, The Prince (Mfalme). Katika kazi yake hii, Machiavelli anashikilia kuwa Pamoja na mambo mengine anayetafuta madaraka lengo lake ni kuyashika...