Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani ni CHADEMA wenyewe waliotamka kuwa moja ya masharti ya kuanza maridhiano ilikuwa ni kuachiliwa kwa...