Wasalaam,
Appease, Propitiate and Placate!
Tuliza, Fidia, wape waone na kusikia wanachotaka kusikia!
Kwenye sayansi ya siasa hizi ni nguzo zitumikazo mara kwa mara kuongoza, ebu leo tujikite kwenye Placate.
Placate (play-cat), it's a mind game, una control akili za watu kwa kuwaonyesha...