GE2025 Vijana msijuhusishe na siasa za mihemko zinazoweza kusababisha machafuko

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kuwachagua viongozi ngazi ya Udiwani, Ubunge na Urais, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, vijana Mbeya Mjini, wametakiwa kuacha kujihusisha na siasa za mihemko zinazoweza kusababisha machafuko.

Rai hiyo imetolewa na mgombea wa nafasi ya Udiwani, Kata ya Majengo Bw. Maulid Jemedari, wakati akizindua rasmi kampeni zake na kuwakumbusha wananchi waliojitokeza kusikiliza sera anazozinadi za utekelezaji wa miradi iwafanye wampe kura ya ndio yeye kama mgombea wa udiwani.

Kwani mpaka sasa kuna chama kinachofanya siasa za machafuko ?
 
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kuwachagua viongozi ngazi ya Udiwani, Ubunge na Urais, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, vijana Mbeya Mjini, wametakiwa kuacha kujihusisha na siasa za mihemko zinazoweza kusababisha machafuko.

Rai hiyo imetolewa na mgombea wa nafasi ya Udiwani, Kata ya Majengo Bw. Maulid Jemedari, wakati akizindua rasmi kampeni zake na kuwakumbusha wananchi waliojitokeza kusikiliza sera anazozinadi za utekelezaji wa miradi iwafanye wampe kura ya ndio yeye kama mgombea wa udiwani.

Siasa za wizi ndo sahihi au siyo?
 
Mada za aina hii zinawafaa waliopungukiwa kichwani kutojuwa maana ya maneno hayo ni nini na kwa nini yanasemwa na watu wa aina hiyo.

Mara nyingi huwa nazipuuza; sizisomi, ila hapa nimeamua kutazama ni upumbavu gani unaoendelea upande huo.
Nadhani kuna umuhimu pia wa kuwatazama wanaozileta mara kwa mara mada hizi jukwaani; kujuwa ni nini hasa kinawapa msukumo wa kufanya hivyo.

Sitafuti kumnyamazisha yeyote; ni maoni tu, na uamue mwenyewe unakosimamia katika ukombozi wa taifa hili.
 
Back
Top Bottom